Msaada

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Nina latop ya Zamani nataka nunua mpya.

Swali je naweza hamisha kila kitu ninamaana files na software kutoka laptop ya zamani kwenda mpya. Inahitaji mtu wa IT ama hata mimi Mchungaji naweza fanya hilo?

Wasalaam

Rev Fr Masa K wa Kanisa la kupinga ufisadi
 
Kuhamisha data Mchungaji hata wewe mwenyewe utaweza kinachotakiwa ni wewe ujue data zako zipo wapi na kuzihamisha hata kwa flash disk yenye uwezo wa kubeba data nyingi...

Kuhusu Software nina wasiwasi kidogo huenda software zako za zamani zisiwe supported na hivyo laptop mpya (although hujasema ya zamani ina windows gani na hiyo mpya itakuwa na windows gani..) so huenda ikakubali... kama unazo hizo software unaweza kujaribu kuweka wewe mwenyewe.. ukishindwa we uliza tu hapa utasaidiwa.. hiyo hela ya fundi ununulie matunda!!
 
haya ndo matatizo ya kichungaji keyboard zinakuwa tatizo

Nunua cable moja unganisha na laptop mpya then transfer files and software

ukishidwa niPM
 
Mzee hizo basic ninajua! Swali langu nikuwa nataka kama kuclone kila kilichokwenye hii laptop kihamie kwenye laptop mpya yenye Window 7. Nashukuru
 
Mkuu Heshima mbele!

Ni kweli nimekwama ninunue clable aina gani? Hii laptop ya sasa inatumia XP mpya itakuwa na Window 7

Nilikuwa na tumia Dell Latitude D 530 nanunua hii Toshiba Satellite C660-195 500GB

JeyKey saidia hapo

JamiiForums Message

Jeykey has chosen not to receive private messages or may not be allowed to receive private messages. Therefore you may not send your message to him/her.

If you are trying to send this message to multiple recipients, remove Jeykey from the recipient list and send the message again.
 
Ya kweli hayo Mchungaji?

Au na wewe umeanza lugha za akina Mzee Mwanakijiji?
 
Mkuu Heshima mbele!

Ni kweli nimekwama ninunue clable aina gani? Hii laptop ya sasa inatumia XP mpya itakuwa na Window 7

Nilikuwa na tumia Dell Latitude D 530 nanunua hii Toshiba Satellite C660-195 500GB

JeyKey saidia hapo

nunuA cable type CM 24AWG 4PR (UL)
CSA LL 79189 CMG ETL
 
Mzee hizo basic ninajua! Swali langu nikuwa nataka kama kuclone kila kilichokwenye hii laptop kihamie kwenye laptop mpya yenye Window 7. Nashukuru

Rev.

Unaweza kutumia hizi tools mbili - Windows Easy Transfer au User State Migration - kuhamisha kila kilichokuwa kwenye "OLD" kwenda kwenye "NEW"
 
Mkubwa kwa kweli haya mambo ya IT kwangu ni kama Ahera na Mbingu! Sijakuelewa hapo

Tumia lugha nyepesi maana sasa hivi natafuta hiyo cable hapo juu.
 
Nina latop ya Zamani nataka nunua mpya.

Swali je naweza hamisha kila kitu ninamaana files na software kutoka laptop ya zamani kwenda mpya. Inahitaji mtu wa IT ama hata mimi Mchungaji naweza fanya hilo?

Wasalaam

Rev Fr Masa K wa Kanisa la kupinga ufisadi

Kama unazo hizo software au unaweza ukampata m2 akakuazima, unaweza weka mwenyewe, ila itakubidi uombe msaada wa maelekezo. kama vile kuweka partitions au kufomart nk. Ila sijui labda kama unamaanisha ukaweka kiimani zaidi ya kiuchungaji kwa maombi au kwa kuoteshwa kama yule jamaa wa loliondo, pia inawezekana..
 
Back
Top Bottom