Tovuti zetu - tutathmini, tukosoe na tusifie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tovuti zetu - tutathmini, tukosoe na tusifie

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Aug 6, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hey wadau na wataalamu wa jukwaa la teknolojia

  Katika uzi huu kwa kutumia mifano hai na ufahamu na uzoefu wa mambo ya ICT tujaribu

  • kuchambua, kukosoa, kusifia na kulingansiha tovuti mbali mbali za tanzania au hata africa mashariki.
  • Zaidi ya kuliganisha tovuti moja na nyingine tujaribu kutathimi standards na best practice za za mambo ya web kama zimezingatiwa. Yaani tutathmini mambo kama acessibility, navigation Content. Design, Security etc
  • Katika a kukokosa kama watalaamu tupendekeze solution. Yaani kama sisi ndio tungekuwa ma director wa IS/IT department kwenye vitengo husika tungefanya nini cha tofauti katika Online publishing.

  Kwa ambao watakuwa hawajanipata wanaweza kusoma artciles hizi

  Sasa tujipe scope ndogo ili tufanye tathmini nzuri na ya kitaalamu

  Funds
  NSSF ( http://www.nssf.or.tz/ ) Vs PPF ( :: PPF Pensions Fund ::- ) Vs LAPF ( LAPF Tanzania: Home Page )

  Revenue
  TRA - (Tanzania Revenue Authority - Home ) Vs KRA - (KRA Website ) Vs URA - ( http://www.ura .go.ug/ )

  Government
  Utalii ( Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania Website ) Vs Afya ( :: Ministry of Health & Social Welfare ) Vs Teknolojia ( Welcome to the Ministry Website )

  Media
  Tbc - (Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC) ) Vs IPP (:: IPPMEDIA) Startv ( Index of / )


  Je katika kila kundi
  • ni ipi ni bora zadi kwa tovuti yake. lakini pamoja na ubora wake ni vitu gani inaweza uboresha na kuongeza ufanisi?
  • wengine ambao wana kasoro nyyingi wafanye nini kuongeza ubora na presentation ya contet zao online.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Katika funds tovuti ya NSSF inavutia na ni mfano wa kuigwa lakini binafsi ningependa kuona wanafanya baadhi ya marekebisho. kipengle hiki cha FAQ http://www.nssf.or.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=186:frequently-asked-questions&catid=42
  • wanakiweka katika menu kionekane na kiwe accesiblle kirahisi kirahisi
  • na waongeze maswali na majibu amabayo wateja wengi wengi tunjiuliza
  NSSF pia tovuti yao ina form ya feedbakc japo sijui kama hizo feeback tunazotumaga kuna watu maalum wa kuzipitia

  TRA kwa desing naona haikakaa vizuri na hiko friendly. naona Fonts na Colour walizotumia kwa mtazamo wangu zimepunguza quality ya tovuti. Sijaona sehemu ya feedback

  PPF nimefurahishwa kuona FAQ yao ipo kwenye menu lakini zaidi ya hapo wana mengi ya kujifunza kutoka kwa wenzao NSSF.

  Lugha ya kiswahili haipwei mumuhimu kwenye tovuti nyingi. Je ni kwa nini? Kwa developer nn web content isitafiswe wa lugha mbili na ili viewe achague anataka kusoma kwa lugha gani?
   
 3. HT

  HT JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ungefanya test ya security uone maana hilo ni janga la kitaifa ktk web zetu. Sina hakika kama kuna auditing inafanyika na ni kila baada ya muda gani
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nilishawai kufanya Testing na scanning ya web vulnerabirity mbali mbali na nakumbia katika scanning niliyofanya the weakest ni ya BOT. na Appplication niliyotumia ya Acunetix WVS Website Security -* Acunetix Web Security Scanner ilionyesha page ya financial market na exchange rate ziko highly vulnerable kwa SQL injection.

  Hii hapa nilitaka wadau tujadili presentation, design na contents na standards but sio mbaya kama una input ya security dondosha labda wapo wahusika watakusoma
   
 5. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  PPF kuna section ya member wanaita PPF self-service portal,hiyo imekaa poa sana maana atleast wateja wanapata taarifa zao muhimu online
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
 7. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Je wataalam tukiambiwa kuchagua tovuti tatu bora za kitanzania ni zipi utachagua.

  NB
  Kwenye kundi hili usiweke au kutaja kampuni za kutengeneza tovuti. kama unadhani kampuni ya kutengeza tovuti ni bora tuwekee tovuti bora za wateja wao walizotengeneza
   
 8. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  HESLB and TCU ni majina/departments mbili ambazo in recent weeks ndio zinaongelewa sana kwenye community hapa JF na kwenye articles magazetini. Sijui kama solution wanazotumia zipo online na ni jinsi gani IT fraternity wanaweza kuwasaidia kimawazo kuboresha kazi zao. nafahamu kuwa kuna departments nyingi sana zinachangia katika operations zao kikazi lakini naangalia upande wa kuchagua watakaoendelea na elimu ya juu na pia watakaopata marupurupu kuwasaidia kimasomo.

  Changamoto kwa wana-ICT, watengenezeeni hawa watu solutions hata kama ni samples tu, mtajijengea jina zuri tu na kuweza kuuza ujuzi wenu kwa haya mashirika...
   
Loading...