Msaada usb tv tuner plz...!

Msaada usb tv tuner plz...!

stanluva

Senior Member
Joined
Apr 7, 2009
Posts
153
Reaction score
33
Habari zenu wapendwa! Nauliza wapi nitaweza pata Genuine USB TV Tuner kwa Arusha au Dar? Na zinauzwa kwa bei gani kwa pesa za kitanzania? Naomba kuwasilisha!
 
Tsh 70000 nenda Zawadi technology opp Simba club kariakoo
 
Nena Just computer,Shekilango.Karibu na office kuu za Mohamed trans ni 50,000 tu
 
Habari zenu wapendwa! Nauliza wapi nitaweza pata Genuine USB TV Tuner kwa Arusha au Dar? Na zinauzwa kwa bei gani kwa pesa za kitanzania? Naomba kuwasilisha!

mkuu hii avatar yako dah.. nenda maeneno tajwa hapo juu utazipata.. but kumbuka cheap sikuzote inakuwa expensive
 
mkuu hii avatar yako dah.. nenda maeneno tajwa hapo juu utazipata.. but kumbuka cheap sikuzote inakuwa expensive
Mkuu nimekupata nashukuru sana! Hii avatar mkubwa usiwe na wasiwasi.... ukiona mtu mzima analia jua kuna jambo sio bure!
 
Naweza kukutumia mkuu
Lite-On USB DVB-T TV-Tuner !
 
Wasiliana na Axis Computer, Wapo Kariakoo, pia wana tawi pale Posta
Simu 0715 545 3001.
Niliwahi kufanya manunuzi kwao, by then price ilikuwa 40,000/= Tshs.
 
Back
Top Bottom