Kwanini facebook ina behave namna hii?

Mkuu yawezekana ni settings fulani kwenye computer yako, jaribu kufungua hiyo facebook kwenye computer nyingine uone kama ita behave the same. Mbona wenzio hutupati tatizo kama hilo.
 
Sijui kwanini ila hiyo ni view tu ambayo inatokea kwa watumiaji wa mobile. Ukiwa kwenye computer kitu kile kile ambacho kwenye simu ulikiona kimejiweka space chenyewe kwenye computer kinaonekana kawaida tu bila kujiweka space
 
Back
Top Bottom