Wenyeji wangu kwa voda modem

Wenyeji wangu kwa voda modem

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Samahani wadau mi nimenunua modem ya voda juzi na kila nikitumia nachukua laini naweka kwenye simu najiunga na internet kwa elfu mbili inawahi sana kuisha afu kila nikitaka kudownload naishia njiani salio linaisha na pia katika menu ya modem connection kuna sehemu ya call ambayo ina namba zote kama simu ila kitufe cha kupigia hakifanyi kazi, wadau naombeni mawazo nifanye nini ili nami nifurahie hii modem ya voda ni mambo gani nifanye.nawasilisha kwenu!
 
bundle unayo2mia ni ndogo sana na inategemea na setting ya pc yako.2ambie model ya modem yako 2jue jins ya kuichakachua u2mie chip ya airtel
 
Back
Top Bottom