Vyuo vinavyofundisha ICT online Bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyuo vinavyofundisha ICT online Bongo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Rutunga M, Jul 29, 2011.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Wakuu,kumbe hapa bongo hakuna chuo chochote kinachofundisha ICT kwa distance learning.Hii si itasanbabisha maendeleo ya ICT kutofikiwa haraka tz

  Au labda mimi sijui,lakini watu wengine niliowauliza wanasema tanzania hakuna chuo kinacghotoa mafunzo hayo.(kusoma kwa kuelewa na kwa ajili ya ajira)
   
 2. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Vipo na vizuri tu kimoja kipo Mlimani kinatoa mpaka degree
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Tupe contact zao basi
   
 4. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #4
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Chuo kikuu cha UDMS kwa kushirikiana na vyuo mbali mbali vya India kama Madras na Amity University wanatoa mpaka Masters za ICT so nenda katika web ya chuo hicho halafu uingie katika Virtual University utapata kila kitu.
   
 5. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #5
  Jul 31, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Ebu fungua hapa na ujisomee unaweza kutapata mwanga
  Contact Us
   
Loading...