Msaada wa kutengeneza best web based application

dacta_d

Member
Jul 7, 2011
25
3
Wanajamii naombeni msaada wenu katika hili suala, ninataka kutengeneza web based application ambayo inaweza ikatumika katika secta za elimu especially vyuoni, nataka iwe the best, sasa nilikuwa nahitaji topic muhimu (idea) mfano( student registration application,library management application,e-learning etc.) ili nianze kuifanyia kazi, nahitaji nifahamu features za hiyo application ambazo nadhani ndio muhimu zaidi kuifanya iwe best.
 
nataka topic ya kufanyia kitu, yani nataka ideas zenu kipi nifanye mwisho wa siku nitoke na kitu bomba na unique kimtindo, hiyo application isiwe much complicated, simple one but iwe inauwezo mkubwa, yani hata ukipresent some where inaonekana kweli mtu umefikiria na umefanya kazi kweli. so sina swali bali nahitaji msaada wenu.
 
Yaani unafanya random? Hujui hata unataka kufanya nini? Mh!
 
kuapata kitu bomaba follow system development procedures. Huwezi kupata kitu bomba kwa kuambiwa na mtu.

fanya feasibility study, analysisi,requirement spcification...... and so so

Katika option za web application zote ulizotaja Hakuna system isiyokuwa bomba. inategemea factors nyingi. amabazo ni wewe unajua. au ni wewe unatakiwa ufanyie kazi na uchunguze. Unless unataka ku copy and paste someone's work.

K
 
Wanajamii naombeni msaada wenu katika hili suala, ninataka kutengeneza web based application ambayo inaweza ikatumika katika secta za elimu especially vyuoni, nataka iwe the best, sasa nilikuwa nahitaji topic muhimu (idea) mfano( student registration application,library management application,e-learning etc.) ili nianze kuifanyia kazi, nahitaji nifahamu features za hiyo application ambazo nadhani ndio muhimu zaidi kuifanya iwe best.

mtafute zolongwa ndo katengeneza ya mlimani na ifm kwa ifm jaribu kuongea na dept ya computer..
utasaidiwa..
 
Unataka kujifunza au nakili na kubandika?
Kwa nini usinunue to braza?
 
Just do it, you need to start building, you'll improve as you go, don't put any mental block before you start a project. If you need some functions, class or heck, even the whole library then go to Google Code Search Lab.
 
nachotaka mimi nikujifunza na pia nitoe kitu mwishoni, cha kwanza muhimu ni topic ipi to start with, yani nina kama assignment flani hivi ambayo ni competition na washikaji wenzangu, ambayo unaruhusiwa hata kucopy kazi ya mtu ila idea tu,sio code to code,alafu mwisho wa siku hizo code ulizoandika uwe na uwezo wa kuzitetea(how do u write them), yani hata ukiambiwa utengeneze mwenyewe kwa mara ya pili utaweza,kinachotakiwa ni ushindani ila mwisho wake ni kujifunza, na hii kazi sio for business, ni just tu kusoma ndugu zangu,nadhani hapo nitakuwa nimeeleweka zaidi.
 
Yaaaani haya maelezo ungeyaweka mwazoni ungekuwa umeshapata coomenst bora zaidi ya zile tulizotoa .

Kwanza cha msingi kutambua web applicatin za kisasa ni database driven. Zadi ya kujua mambo ya web kama HTML na CSS inabidi ujue mambo ya database pia ili utoke na kitu bomba kama ulivyosema. . Kuna Websever nyingi zinatoa ofa ya bure kutengeza Database kwa kutumia MySQL. Kama unataka kufanya ila kitu kwenye mashine yako install WAMP

Pili siku hizi kuna open source CMS kama joomla, Drupal wordpress na pia kuna extension mbali mbali unaweza kuinstall kwenye CMS ilafanye kazi ya mambo ya library, attendance, registration, n.k

Mfano web ya NSSF (http://www.nssf.or.tz/) TRA ( Tanzania Revenue Authority - Home) na hata blog ya udaku ya u turn ( U Turn Blog) zimejengwa chini ya msingi wa CMS ya joomla. ujuzi wako wa HTML CSS na web ndio utausaidia kui customise joomla iendane na matwaka yako. nyenzo zote za kukusaidia zipo online na tools zote.

So mfano umeamua kuwa utafanya library.

  • Unaistall Joomla Download Joomla kwa sbabu uanjifunza install vesion 1.6 au 1.5 sabbau ndio zina extension nyingi
  • Unainstall extension ya book library basic ipo hapa BookLibrary Basic - Joomla! Extensions Directory. uijaribu ukiona inafaa unaweza kutafuta book library pro wanayouza kw amshiko mdogo. kama ni muumini wa kuchakachua unaweza kuipata wenye torrents
  • Then unachobaki kufanya ni customisation ili web yako ionekana ni yako sio ya joomla kama unavyona web za TRA na NSSF.

NB
Hizo htua hapo juu utapata nyezo zake kwa application yeyote hata registration, nk
 
nashukuru kaka, kingine nachotaka kufahamu, watu wengi wanarecommend hizo development tools mbalimbali kama hiyo ulosema joomla, sasa wengine wanasema dreamweaver, adobe dreamweaver cs's(3, 4,& 5), sasa ipi ni best kati ya zote, mimi pia ni mmoja wapo wa waumini wa uchakachuaji(torrent user). nahitaji recommendation zenu.
 
kama unataka kujifunza usipende sana vitu rahisirahisi kama ku-download project nzima ya mtu kwenye torrent. kama nilivyosema hapo awali tafuta project yoyote rahisi kama ku-auto login gmail/yahoo account halafu uendelee na vitu vigumu. Binafsi mimi hutumia plain text editor na xampp kutengeneza webbots.
 
ok, thanks for that comment, ila naamini ninao uwezo wa kufanya vyote viwili simultaneous kusoma ili nijue kwa kupitia code zilizoandikwa tayari na kuwa naandika mwenyewe kupitia text editor, na ndicho nakifanya kipindi hiki, then nikishajua, mwisho wa siku hata nikitumia hizo app saidizi kuandikia code, nitakuwa najua how to write them hata kuziedit.nashukuru sana kwani mawazo yako ni sawa kabisa nilivyokuwa nafanya.
 
nashukuru kaka, kingine nachotaka kufahamu, watu wengi wanarecommend hizo development tools mbalimbali kama hiyo ulosema joomla, sasa wengine wanasema dreamweaver, adobe dreamweaver cs's(3, 4,& 5), sasa ipi ni best kati ya zote, mimi pia ni mmoja wapo wa waumini wa uchakachuaji(torrent user). nahitaji recommendation zenu.

Joomla ni CMS dreamwaver ni editor. Maswali yako yanaonyesha ndio unataka kuanza kujifunza lakini unataka kuazia stage ya juu sana..

Nakushauri Pakua torrents hizi za training utazame video zake kwanza.

Ukizitazama basi utajua nyenzo gani ya kutumia wapi na nyenz ipi kazi yake nini na inafanyaje kazi. Sababu joomla na dreamwwaver ni vitu tofauti kabisa. japo zinauhusiana na neno web. Yaani unaweza utumia zote kwa kazi tofauti

Goodluck
 
poa bro, nitafanyia kazi hiyo mambo uliyonipa,training dvd ya dreamweaver tayari nnayo ngoja niicheki hiyo ya joomla.
 
Fanya kitu simple kama ndo unaanza, website yoyote inayoweza kuandika kwenye DB, kusoma DB, kudelete na kuupdate DB. Naongelea kuiandika haswa sio kuinstall Joomla u Drupal na kuconfigure. Sahau kabisa kuandika "Best" anything kwa sasa hivi.
 
Kama wachangiaji walivyosema start with school boy stuff kwanza.
naona kila mtu anashauri mysql and php.wewe unajua nini kwanza interms of programming language and database?
 
Back
Top Bottom