bandugu kwa yeyote mwenye serial namba za Internet Download Manager naomba aniwekee hapa jamvini hii kitu nimetuma trial kwa mwezi hakika ina supidi ya hali ya juu sasa siku 30 zimeisha ,tafadhali...
Habarini wana JF, Kuna dell laptop Inspiron 6000 kila nikitaka kuweka win XP inaenda hadi sehemu fulani kisha inagoma na kuleta blue screen na maandishi ya bluee "Check memory..." sijayashika...
Wana TEACH
Nimeformat Laptop yangu HP Compaq 6720S
ilikuwa na Windows 7 baada ya kuformat imekwama kwenye Expanding windows files (0%)
Inaishia kwenye % haiendelei mbele na wala haileti error...
wana jf naomba msaada wenu nimedownload movie wakat nina unzip likatokea folder lina ujumbe Please download this password (txt file) from the following links...
Kutokana na mazingira yetu ya uswaz nalazimika kuweka kwenye simu yangu mobile traker sotwer!<br />
Juzi tu vibaka wamechana dirisha na kuiba blackberry yangu lakini kwa shingo upande nimenunua...
Wakuu salaam! naomba msaada kuhusu hii sim ya blackberry 8100. ni among earlier versions za blackberry. tatizo linakuja kwamba haikuja na browser configuration japo ina internet...
ENJOY !! The best
operatingsystem serving the
ENJOY !! The best
operatingsystem serving the
planet !! Mac OSX Snowleopard !
This image comes with absolutely no warranty !!
You are using this...
naombeni msaada jinsi ya kuchakachua E153 HUAWEI MODEM YA TIGO ili itumie SIMCARDS za Zantel au Airtel............please saidieni sina hela ya kununua Modem zote!
Last month, nilitoa habari kwamba Nokia N9 might be powered by MeeGo instead of Symbian Anna. Likewise, this gave enthusiasts hope that Nokia will still push the MeeGo platform despite the looming...
Jamani naomba mnisaidie labda nipo mbali na media, nilikuwa na nimejiunga na huduma ya Airtel ya 400MB ambayo huwa naitumia siku zote, ilipofika jana ikaisha leo saa 10 jioni nikajiunga tena kwa...
Msaada waatalam wa computer.Hivi majuzi desktop imegoma ku start kabisa,nilihisi tatizo ni PSU lakini baada ya uchunguzi nilibaina output voltages zote sawa.Nimetrace tatizo down to mobo au...
Msaada waatalam wa computer.Hivi majuzi desktop imegoma ku start kabisa,nilihisi tatizo ni PSU lakini baada ya uchunguzi nilibaina output voltages zote sawa.Nimetrace tatizo down to mobo au...
Hali zenu wakut. Mimi tatizo langu ni modem ya huawei kwenye counter reset. Kila nikijaribu kureset modem ya huw e173 inakataa nimejaribu counter reset aina 2 zote zimegoma. Je kuna counter reset...
Kwenye matangazo na documentation za internet packages zinazotolewa na tigo (3.5G network, simu na modem), sijawahi kuona sehemu wanazungumzia speed. Wanazungumzia tu package, ya chini inaanza...