tototundu
Senior Member
- Jul 29, 2009
- 198
- 40
Kwenye matangazo na documentation za internet packages zinazotolewa na tigo (3.5G network, simu na modem), sijawahi kuona sehemu wanazungumzia speed. Wanazungumzia tu package, ya chini inaanza shilingi 450 kwa siku.
Kwa wale ambao mmetumia tigo internet, mnaweza kunisaidia kujua hili? Hasa hasa wale wenye kutumia "Max".
Speed ninayozungumzia siyo ile ya normal surfing, bali ile ya kudownload large files na ile ya media streaming kama youtube.
Natanguliza shukrani.