Jamani mimi siyo mtaalam sana wa computer, tangu jana kwenye laptop yangu nimejikuta nikifungua website yoyote ile, haifit kwenye screen size. Maandishi yanasambaa sana nikitype email, au nikisoma...
kuna jamaa namfahamu hua akiingia katika internet cafe anaweza kudownload mpaka 20 gb na zaidi ndani ya saa moja. Tatizo hasemi hata kwa hela, anaejua pls tupeane ujuzi jamani.
ebana mimi nimechukua computer lakini haina flash inaiwezesha kuplay vitu vilivyo kwenye internet kabla ya kudownload.je flash gani nzuri ya kuplay kwenye internet na inapatikana web gan?
Baada ya voda kutuzingua na unlimited yao kuona tunafaidi sana. Nataka hamia TTCL je naweza nunua line ya ttcl na kutumia kwenye modem yangu nliyo i flash?.. Je package zao zinakuaje? Na ofa...
1. what design pattern have you ever used in your projects and what was your experience?
2. What are procedure you follow from conception of project to final release?
if(isset($discussion)){...
Wadau nimenunua hii gadget ili kushare mobile interent from 3g modem za Vodacom/Zantel ; haikubali .................................KLana iko ok kwani ndiyo nayotumia nikiweka adsl modem ya TTCL...
Naomba msaada kwa anayefahamu jinsi ya kuupdate bios. Nimejitahidi kila niwezavyo imeshindikana. Ninazo information zote kuhusu kuhusu BIOS yangu.
BIOS Type: Insyde
BIOS Version...
Niaje wakuu? natumaini hii post tayari kama ishawahi kuepo ivi ila naomba niweze kushare knowledge na wenzangu kwani nimefanikiwa hii kitu hadi raha japo bado sijaaanza transactions. Ni hivi,jinsi...
wANDUGU,
NIMEPATA HII MAIL, NI KWELI AU UTAPELI ???????????????rom: nokiaconnectclaim@hotmail.com
To: XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Subject: NOKIA VERIFICATION REQUIREMENT (Fill & Attach Passport...
Haya tena wale wateja wa voda kila ukiongeza sh 1000 ya pamoja unapewa sms 100, dakika 10 na 500 megabytes ambazo utatumia kuanzia saa 5 usiku hadi saa 12 alfajiri! Ni hayo tu wakuu!