Jinsi Ya KuUpdate BIOS.

Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,958
6,075
Naomba msaada kwa anayefahamu jinsi ya kuupdate bios. Nimejitahidi kila niwezavyo imeshindikana. Ninazo information zote kuhusu kuhusu BIOS yangu.

BIOS Type: Insyde
BIOS Version: 4.00 V1.09
System BIOS date: 01/23/03
Video BIOS date: 12/3102
Company Name: Insyde Technology, Inc

Nimejaribu kwenda kwenye hiyo website yao lakini hakuna link yeyote na nimejaribu kugoogle pia sijafanikiwa. Nilikutana na hii software (BiosAgentPlus) ambayo inaScan BIOS then inakupa link ya kwenya kwenye hizo update za BIOS ila unabidi uLogin kwenye account yao.

(BiosAgentPlus.com - Extend your PC's life with a BIOS update)

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
ni computer brand gani unatumia..dell, hp....... ukishajua hiyo nenda kwenye site yao ingia page ya drivers and download tafuta bios kulingana na specifications za computer model yako...mara nyingi bios updates wanaweka kwenye website za brand ya computer unayotumia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom