msaada jinsi ya kuongeza download speed | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada jinsi ya kuongeza download speed

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by komredi ngosha, Aug 15, 2011.

1. k

komredi ngosha JF-Expert Member

#1
Aug 15, 2011
Joined: Jan 11, 2011
Messages: 381
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
kuna jamaa namfahamu hua akiingia katika internet cafe anaweza kudownload mpaka 20 gb na zaidi ndani ya saa moja. Tatizo hasemi hata kwa hela, anaejua pls tupeane ujuzi jamani.

2. Osaba

Osaba JF-Expert Member

#2
Aug 15, 2011
Joined: Apr 10, 2011
Messages: 1,725
Likes Received: 130
Trophy Points: 160
Mkuu ni cafe gani hiyo inayoruhusu mtu kupakua GB nyingi hizo unajua huo ni mtaji wa cafe kwa wiki?

3. Kang

Kang JF-Expert Member

#3
Aug 15, 2011
Joined: Jun 24, 2008
Messages: 5,122
Likes Received: 617
Trophy Points: 280
Huyo ni mwongo, 20Gb hata kwenye connection ya 10Mbps itakuchukua zaidi ya masaa manne kudownload under perfect conditions.
Na hakuna kitu kama kuongeza download speed, kama unapewa 1Mbps na provider wako ndo utaishia hapo hapo.

4. Shakazulu

Shakazulu JF-Expert Member

#4
Aug 15, 2011
Joined: Feb 23, 2007
Messages: 940
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
Kwa broadband speeds za TZ this is impossible.

5. B

Bukyanagandi JF-Expert Member

#5
Aug 15, 2011
Joined: Jun 24, 2009
Messages: 7,534
Likes Received: 3,869
Trophy Points: 280

6. B

Bukyanagandi JF-Expert Member

#6
Aug 15, 2011
Joined: Jun 24, 2009
Messages: 7,534
Likes Received: 3,869
Trophy Points: 280

Mkuu mbona sikupati vizuri, hivi unapewa throughput au hiyo inategemea modem uliyonayo na provider wako na vile vile kama connection hiko dedicated au contended. Mara nyingi modem zenyewe ndiyo zinajiamlia speed gani hitumike at any given time kutegemea na condition ya media zilipofungwa, na infact max speed ambazo huwa quoted na manufacturer wa modems huwa hazifikii na trade gimmick tu. Kwa hiyo mimi nafikili provider anahuza Mega/Giga/Tera BYTES za data na siyo Mbps, he/she won't give a hoot if it takes you femto seconds or the whole day to download large files. I stand to be corrected.

7. Shakazulu

Shakazulu JF-Expert Member

#7
Aug 15, 2011
Joined: Feb 23, 2007
Messages: 940
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
Nadhani download speed zinakuwa determined na ISP wako. Kwa mfano huku UK IPS huwa wanasema kuwa wanakupa package of up to 50Mb speeds with unlimited downloads. Hi maana yake ni kwamba you can download as much data as you want with maximum speeds of 50Mb. The maximum speeds are only obtained under perfect conditions.

8. Kang

Kang JF-Expert Member

#8
Aug 15, 2011
Joined: Jun 24, 2008
Messages: 5,122
Likes Received: 617
Trophy Points: 280
Provider anaset speed either makusudi au kutokana na limitations za mitambo yao, hauwezi ukazidisha spidi zaidi ya limit ya provider kwa kubadili modem. Unaweza ukaongeza speed kama modem yako ya zamani ilikuwa na uwezo chini ya spidi unayopewa na provider.

Kwa hiyo spidi itakayopata ni spidi ya chini kabisa katika connection yenu, kwa mfano una modem inasupport 10Mbps lakini provider anakupa 56Kbps spidi yako itakuwa 56 na hakuna kulikwepa hilo.

Ukitaka kuona providers wanalimit speed angalia VodaBomba Vs VodaSpidi.

Spidi za kwenye modem kweli hazifikiki lakini sio gimmick ndio njia pekee ya kuweza kuzirate hizi modem, kwa sababu spidi za kweli zinategemea too many variables ambazo ziko tofauti kila wakati kwa mfano ukimove kutoka jikoni kwenda chumbani unapata spidi tofauti kutegemea na mawimbi yanavyokufikia, mvua ikinyesha unapata spidi tofauti etc hakuna njia ya modem manufacturer kuweza kuyajua hayo.
So spidi ua modem ni njia ya kufananisha modems sio njia ya kujua utapata spidi gani.

9. P

Paul S.S Verified User

#9
Aug 15, 2011
Joined: Aug 27, 2009
Messages: 5,933
Likes Received: 276
Trophy Points: 180
Mrongo mkubwa huyo
Thats impossible kwa hali tuliyonayo sasa.

10. MziziMkavu

MziziMkavu JF-Expert Member

#10
Aug 16, 2011
Joined: Feb 3, 2009
Messages: 39,616
Likes Received: 4,616
Trophy Points: 280
Ni Kweli hicho kitu hakuna hata ya kwangu mimi speed yake ni hii hapa Last Result:
Download Speed: 3333 kbps (416.6 KB/sec transfer rate)
Upload Speed: 622 kbps (77.8 KB/sec transfer rate)
August 16, 2011 6:18:32 AM GMT+03:00 na Siwezi ku Download GB 20 kwa saa moja hicho kitu hakiwezekani hata kidogo na mimi sipo bongo nipo Ughaibuni.

11. sijui nini

sijui nini JF-Expert Member

#11
Aug 16, 2011
Joined: Sep 29, 2010
Messages: 2,382
Likes Received: 306
Trophy Points: 180
mko sayari gani...MARS? au anatumia cafe za NASA?

12. Kang

Kang JF-Expert Member

#12
Aug 16, 2011
Joined: Jun 24, 2008
Messages: 5,122
Likes Received: 617
Trophy Points: 280
Achana na connection speed, ni server chache sana ambazo zitakuruhusu kudownload kwa spidi hiyo, so hata angekuwa na connection inayomwezesha kudownload 20GB/hour, server haziwezi kumpa files at 20GB/hour.

13. B

Bukyanagandi JF-Expert Member

#13
Aug 16, 2011
Joined: Jun 24, 2009
Messages: 7,534
Likes Received: 3,869
Trophy Points: 280

Mkuu jaribu kusoma kwa makini nilicho andika humu nemesema speed za modem zinategemea zimefungwa kwenye media zipi na prevailing condition wakati wa matumizi, vile vile nimesema kwamba modem zenyewe zina ongea na kukubaliana ni speed hipi itumike at any given time kutegemea na condition ya media husika sikuhishia hapo niliongeongezea kwamba kama Provider ameset kwamba speed hisizidi kiwango fulani kwa client wake basi by default modem za client zitacomply na modem za Provider, kumbuka nimesema zinakuwa na handshake(mazungumzo) kabla ya kutuma data. Hapa naona unazungumzia zaida mambo ya wireless umesahau kwamba modem zinafungwa vile vile kwenye waya za simu. Labda nikufahamishe kwamba tuliwahi kufanya utafiti na watu weledi wenye test instrument za dunia ya kwanza tuligunduwa kwamba max speed ambazo manufacture wanaquote haziwi attained, kumbuka modems zilikuwa connected through copper wire kwa hiyo hapakuwepo na constraits ulizo zungumzia humu yaani: mvua,snow, galactic noises and what have you. Mwisho mpaka sasa hivi hakuna manufacturer yeyote ambaye ameweza kufikia speed ya 100Mbps through the air.

14. Kang

Kang JF-Expert Member

#14
Aug 16, 2011
Joined: Jun 24, 2008
Messages: 5,122
Likes Received: 617
Trophy Points: 280
Sasa sielewi ni nini tunachobisha kumbe unaelewa kuwa provider anaset spidi? Au he doesn't give a hoot? Sioni uliposema chochote kuhusu handshake.
Wired connection variables ni tofauti lakini tatizo ni lile lile, hakuna njia ya kujua connection kati ya provider na user itakuwa na hali gani exactly.

Najua kuwa spidi za modem hazifikiki, ni njia ya kuzirate modem tu sio njia ya kujua spidi, kama gas millage ya magari isivyofikika ila inakuruhusu kufananisha matumizi ya mafuta ya magari tofauti.

Actually LTE imefika karibia 300Mbps kwenye field tests, il haiko available commercially kwa spidi hiyo.

15. k

komredi ngosha JF-Expert Member

#15
Aug 17, 2011
Joined: Jan 11, 2011
Messages: 381
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
ndugu, hii ni habari ya kweli kabisa mimi nimewahi kuingia nae cafe kimara kwa saa moja akatoka na 15 gb ameshadownload
nimesikia tetesi hua anacheza na ports number kuongeza speed. Mtaalamu wa ports number atujuze

16. sijui nini

sijui nini JF-Expert Member

#16
Aug 17, 2011
Joined: Sep 29, 2010
Messages: 2,382
Likes Received: 306
Trophy Points: 180
anyway..hapa kuna mambo mawili yananitatiza...kwanza huyo mtu anatumiaga nini kudownload..torrents au file za kawaida...na pili hiyo cafe anayokwenda pengine anajua password za settings mbalimbali za network yake ...kama haya yote ni sahihi anaweza akaongeza speed ya kudownload endapo atakuwa anatumia torrents au download manager (ambazo nna hakika cafe nyingi wanazipiga marufuku na ndio maana wana ifunga administrator account kwa password ili usiweze ku install program kama hizi). sasa kama anajua hizo password ( na pengine ndo maana hataki kukwambia) anaweza kuongeza speed ya kudownload kidogo (SIDHANI KAMA ITAWEZA FIKA HIYO 20GB/HR kama unavyodai ila kitu cha one hour ivi unaweza tumia kama 20-30 minutes) kwa kucheza na settings mbalimbali kwenye computer na router inayotumika kusambazia internet( kumbuka vyote vinahitaji administrator access ili uweze ku set)...zipo njia nyingi tu za kufanya ujanja huu...kama upo interested jaribu kucheck hizi page...increase-download-speed-of-torrents na hii forward-internet-connection hizi ni baadhi tu kwa kuanzia na mimi niliwahi kujaribu kwenye torrents na ikaimprove speed kutoka 3kbps nliokuwa mwanzo mpaka sasa napata hadi 18-30kbps nnapokuwa nadownload na internet zetu za kishenzi ila ikiwa imetulia napata mpaka 150-300kps kwenye u torrents na nilishawahi kudownload compilation ya windows 7 yenye 32 na 64 bit ikiwa na premium na ultimate kwa pamoja kama 18gb hivi kwa kutumia masaa kama manne tu nakumbuka... ila hiyo ya 20gb kwa saa...mhh..labda kama kuna kitu cha ziada tuambiane..

17. Shakazulu

Shakazulu JF-Expert Member

#17
Aug 17, 2011
Joined: Feb 23, 2007
Messages: 940
Likes Received: 10
Trophy Points: 35
Hakuna kitu kama hicho. Just google this and you will know that what you are talking about is not true given the internet speeds that we currently have in Tanzania.

18. M

MWENDAKULIMA JF-Expert Member

#18
Aug 17, 2011
Joined: Jul 17, 2009
Messages: 961
Likes Received: 23
Trophy Points: 35
Mkuu hii haijakaa vizuri.He's just tryin' to be curious usimkatishe tamaa

19. Brakelyn

Brakelyn JF-Expert Member

#19
Aug 17, 2011
Joined: Oct 6, 2009
Messages: 1,236
Likes Received: 64
Trophy Points: 145
mkuu huyo jamaa amekueleza kwa maneno au huwa unamshuhudia akiDownload huko cafe, kwasababu 20GB kwa 1Hr' naona kama ni ndoto flani zisizowezekana...20GB na zaidi kwa lisaa limoja inamaana, 333.3MB kwa dakika moja. nawasiwasi kama alikwambia basi kakudanganya......:twitch::twitch:

20. Millah

Millah JF-Expert Member

#20
Aug 18, 2011
Joined: Jun 3, 2011
Messages: 412
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Watu wamekuwa wakali kwa sababu ya 20GB kwa saa moja, labda tumuulize vizuri aliyeleta hoja hii huenda anaishi Korea ya Kusini wao wameshatandika line zenye uwezo wa 1000 Mbps. Nchi nyingi za Europe na Amerika ya Kaskazini wanaishia 100 Mbps.

Loading...