Msaada jinsi ya kucrack Arcgis Desktop 10

Msaada jinsi ya kucrack Arcgis Desktop 10

kinja

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2010
Posts
201
Reaction score
27
Wana JF, nimefanikiwa kuipata hiyo software na crack folder yake, lakini nimeshindwa kuicrack. naomba msaada wenu
 
Wana JF, nimefanikiwa kuipata hiyo software na crack folder yake, lakini nimeshindwa kuicrack. naomba msaada wenu

Unataka kucrack iweke...uweze kupata extension license zake zote bila kuwa na expire date? Au?
 
Kama ila kitu unacho humo homo kwenye mafile Tafuta file linaitwa READ me ulisome litakuwa na maelekezo.

But mara nying crack zinvtofanya kazi unachukua files yalizomo ndani ya fodler la crack unakwenda kuyaweka na kuoverwite mafle kwenye folder la program husika. eg C/ prpgram file/ Argis
 
Back
Top Bottom