ebana mimi nimechukua computer lakini haina flash inaiwezesha kuplay vitu vilivyo kwenye internet kabla ya kudownload.je flash gani nzuri ya kuplay kwenye internet na inapatikana web gan?
Kwanza hakuna flash 'nzuri', pili flash unapakua bure.
Sina hakika kama unazumngumzia standalone flsh player au ile ambayo inkuwa embedded kwenye browser yako. Kama ni hii ya pili basi hakikisha unapakua ambyo ni latest nayo ni v. 10.3.183.5.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.