The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 868
- 1,798
Habarini wakuu,
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. PC yangu aina ya Hp intel i5 vpro ina shida hasa pindi unapoiwasha inaandika activated window setting sijui inashida gani.
Msaada Wakuu, natanguliza shukurani.