Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,285
- 2,595
Kuna Mambo mengi yamejificha ya Siri kuhusu simu zetu tunazozitumia lakini atuzifahamu hivyo tunazichukulia poa sana simu bila kujua.
Hivi umeshawahi kujiuliza ukifuta vitu kwenye WhatsApp vinaenda wapi au simu yako ukifuta video, picha nyimbo na nk zinaenda wapi?
Tuachane na huko darasa lake badoo alijafikia Leo nakujuza kuhusu secret code za simu zetu AMBAZO zinakupa hurahisi wa kufanya kitu.
Tuanze na neno USSD hili neno sijui ni ngeni kwako au lah [emoji851] sijui Ila USSD kirefu chake ni unstructured
supplimentary services data (taarifa za huduma zisizo za kawaida )✓
ambapo Kuna mda inaitwa Quick code au feature codes Ni itifaki (protocol ) ya mawasiliano ambayo utumiwa na GSM cellular telephone kwa ajili ya kuweza kuwasiliana na mobile network operators computer ambazo hukusaidia kufikia huduma zilizofichwa [emoji110].
Ila watu wengi awapendi kujua jinsi mifumo za simu zao zikoje ndani na inavyofanya kazi au nambari zao za EMEI ni Nini.
Leo nakupa horodha baadhi ya code za Siri ambazo ulikua uzijui ni Kama ifuatavyo[emoji116]
General test mode #0#
Hii huweza kukupa shughuli tofauti tofauti za nini simu yako ya Android unafanya Kama vile sleep , front camera , vibration na nk.
Check your call forwarding *#67#
Code hii huweza kukusaidia wewe kuangalia simu yako namna Gani inasambaza kwa kuwapigia watu simu kwa wakati uko busy au kukataa simu.
Hide your phone from caller ID *31#
Ficha utambulisho wako wakati unapiga simu Code hii huweza kuficha utambulisho wako wakati unapiga simu hivyo kutowexa kufahamu mtu uliyepiga simu kuweza kusitisha bonyeza #31#.
Checking your billing cycle *3282#
Huduma hii huweza kufanya kazi katika simu baadhi tu za Android ambazo huweza kukupa taarifa zote za bill zako za vocha kwenye simu kupitia ujumbe wa Sms.
Activate call waiting *43#
Hii code huweza kufanya simu ya mtu kuweza kutokupata mpaka pale utapoamua kujiindoa sometimes sio lazima kuweka flight mode kupitia code hiyo unaweza subirisha call zote pia kujiondoa piga#43#.
Inatosha sio [emoji1783].....
Ila [emoji344] don't try try
Unaweza kutembelea page yetu kujifunza mambo mengi kuhusu teknolojia kwa lugha ya kiswahili sasa.