worms
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 964
- 894
Habari!
Kupitia thread mbalimbali ambazo wadau walianzisha kuhusu gaming niliamua kununua Playstation 3 used ili nami niweze kufurahia baadhi ya games mpya.
Mara ya kwanza ilikuwa poa tu natumia vizuri lakini ni zaidi ya wiki sasa kila niki-connect ps3 kwenye Tv kwa kutumia HDMI cable inaniandikia " No cable connected -check the cable connections and the settings of your source device"
Inanipa shida sana hii hali kwa sababu Ps3 ina mwezi tu tangu niichukue.
Msaada jamani.
N:B ps3 ipo jailbreaked.
Karibuni.