๐—๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฐ๐˜๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป ๐˜†๐—ฎ ๐—ผ๐—ณ๐—ณ๐—ถ๐—ฐ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ธ๐—ผ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
๐—๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ฎ๐—ฐ๐˜๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป ๐˜†๐—ฎ ๐—ผ๐—ณ๐—ณ๐—ถ๐—ฐ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ธ๐—ผ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Je umekua ukisumbuka kufanya office activation kwenye kompyuta yako ? Baada ya kufanya installation ya office kwenye kompyuta umekutana na neno office is not activated utafanyaje kuondokana na hii changamoto !!

Relax Leo nakujuza njia rahisi sana Kuna wakati unakuta umashindwa kutumia office yako kutokana haijalipiwa, pia hauna keys zake ?

Leo utaweza kufanya activation ya office kuanzia mwaka 2016, 2019 pamoja na mwaka 2021

Unachotakiwa kufanya ni hivi jinsi ya kufanya activation ya office kuanzia mwaka 2016, 2019 na 2021

โ€ข fungua CMD kwenye pc run as administrator

โ€ข kama unatumia window mfumo wa 32 bit basi weka hii code kwenye CMD
cd /d %ProgramFiles(x86)%\Microsoft Office\Office16

Au Ikiwa unatumia window ambayo ni 64 bit weka hii code kwenye CMD
cd /d %ProgramFiles%\Microsoft Office\Office16

Kisha utabonyeza Enter
2) utaendelea na stage ya pili hakikisha office yako umeifunga usifungue alafu andika hivi kwenye CMD

for /f %x in ('dir /b ..\root\Licenses16\ProPlus2019VL*.xrm-ms') do cscript ospp.vbs /inslic:"..\root\Licenses16\%x"

Hii code inatusaidia kwenye server za kms na kutemgeneza mfumo wetu na kuondoa uliopo ukimaliza bonyeza enter

3) hatua ya tatu weka hii code kwenye CMD na kufanya activation ya office kwenye kompyuta yako
cscript ospp.vbs /setprt:1688
cscript ospp.vbs /unpkey:6MWKP >nul
cscript ospp.vbs /inpkey:NMMKJ-6RK4F-KMJVX-8D9MJ-6MWKP
cscript ospp.vbs /sethst:s8.uk.to
cscript ospp.vbs /act


Kama ikikataa hii activation sehemu palipoandikwa
cscript ospp.vbs /sethst:s8.uk.to ondoa Kisha weka hii
cscript ospp.vbs /sethst:kms8.MsGuides.com

Ukimaliza piga enter itafanya activation ya office kwenye kompyuta yako kwa njia rahisi sana hakikisha tu kompyuta yako iko connected na intaneti ukimaliza restart kompyuta fungua office yoyote Word au excel utaweza kutumia Bure bila kulipia.

Unaweza kupakua code zake kupitia chaneli Yetu ya telegram gusa link hii

Office zote utaweza kufanya activation Bure bila kulipia chochote


Vipi umefanikiwa kufanya activation ya office kwenye kompyuta yako au Bado tuachie maoni yako au unataka tuje na video kabisa tuambie sasa ?
1_20230515_212537_0000.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom