Natafuta application ya kubadili sauti unapowasiliana na mtu

mtanzania10

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
271
Reaction score
81
Mwenye kujua app ya kubadili sauti wakati unapiga simu mfano kama no mwanaume uweze kibadilisha sauti isike kama ya kike au kama MTU amekariri sauti yako ashindwe kuitambua.
 
Hii kitu hata mm nilijitahid kutafuta cku chache zilizopta bt ckufanikiwa,,
 
Mwenye kujua app ya kubadili sauti wakati unapiga simu mfano kama no mwanaume uweze kibadilisha sauti isike kama ya kike au kama MTU amekariri sauti yako ashindwe kuitambua.

Daah umewapa Idea Android developers maana it seems like a child's play ila people need it

Kazi kwenu sasa Dreson4 na wengineo
 
Last edited by a moderator:
Daah umewapa Idea Android developers maana it seems like a child's play ila people need it

Kazi kwenu sasa Dreson4 na wengineo

Hii kitu mkuu inawezekana na kuna apps kibao tu android store tayari zina hii feature, tatizo la implementation ya hii kitu itahitaji server kubwa kuhandle data inayoflow kila wakati maana huwezi tengeneza app itakayobadilisha sauti kwenye simu moja kwa moja, hardware manufacturers hua wanazuia sababu ni illegal,

Hapa app ni lazima voice ipitie kwenye sip server, ibadilishwe afu itumwe, hiyo inafanya process iwe ndefu na gharama ndo maana developers wengi hawajaribu, wote waliotengeneza ni paid apps ambazo haziuzi vzr store kufidia gharama za kuhost.
 
Kumbe hii kitu ni kweli mana niliiskia kwa mdogo wangu akinambia eti unaweza ukabadili saut uongee kama mwanaume sjui nini hata sikumuelewa nikahisi atakua anaota ndoto za mchana jua kali kumbe kweli zinapatikana kwenye play store wakuu?

zinaitwaje?
 
Simu za kichina zinazofanya hii kitu hata internet hazina.
 
Sio tecno p5 ile tecno ya efu 50 ndo inachenj sauti teheheheheheee
 
Kumbe hii kitu ni kweli mana niliiskia kwa mdogo wangu akinambia eti unaweza ukabadili saut uongee kama mwanaume sjui nini hata sikumuelewa nikahisi atakua anaota ndoto za mchana jua kali kumbe kweli zinapatikana kwenye play store wakuu?

zinaitwaje?

Kwenye simu za kichina hasa Tecno ambazo sio smartphone zina feature izo.
 
Attachments

  • 1426586215186.jpg
    1426586215186.jpg
    44.9 KB · Views: 374
  • 1426586233508.jpg
    1426586233508.jpg
    38.3 KB · Views: 327
  • 1426586258790.jpg
    1426586258790.jpg
    38.3 KB · Views: 335
  • 1426586277928.jpg
    1426586277928.jpg
    39.4 KB · Views: 315
Kila simu inaweza ingia google andika kitu "magic voice" ikija uiinstall
 
Hii kitu mkuu inawezekana na kuna apps kibao tu android store tayari zina hii feature, tatizo la implementation ya hii kitu itahitaji server kubwa kuhandle data inayoflow kila wakati maana huwezi tengeneza app itakayobadilisha sauti kwenye simu moja kwa moja, hardware manufacturers hua wanazuia sababu ni illegal,

Hapa app ni lazima voice ipitie kwenye sip server, ibadilishwe afu itumwe, hiyo inafanya process iwe ndefu na gharama ndo maana developers wengi hawajaribu, wote waliotengeneza ni paid apps ambazo haziuzi vzr store kufidia gharama za kuhost.

Kama Android hairuhusu hamna uwezekano wa kudevelop app ambayo ikafanya kazi kupitia root access
 
Back
Top Bottom