wadau nina dvds zangu za movies collection mbili ambazo nimekuta zimefutika ile material ya silver ndani yake ambayo ndio hasa inayohifadhi kumbukumbu, kwa hiyo ukiweka kwenye player haisomi kitu...
Jamani mwenye kufahamu iwe duka au mtandao ambao naweza kupata Laptop aina ya DELL kwa TZS.700,000/= yenye RAM minimum 4GB na kuendelea, screen size 14 inch na kuendelea, webcam, bluetooth, WIFI...
Hellow,
ningependa kufahamu any Ideas,process etc jinsi ya kuwa omba hao jamaa watangaze kwenye website yako binafsi ambayo ina mvuto na wateja wengi na HITS nying per day!!?
Na hizi namba za...
Hivi majuzi ceiling fan limekorofisha ,out of curiosity nimelifungua kwa lengo la kujua tatizo. Nilibaini coil zimeungua kabisa(jumla ya coil 28 ie miviringo miwili kila mviringo coil 14). Kwa...
Nimehangaika sana kuresolve hii inshu, help plse
Dell Studio 1536
64 bit-ingawa naistall linux 32 bit
Ubuntu 10.10 Ultimate Edition(UE), napata hii message
BusyBox v1.10.2 (Ubuntu...
wakuu habari zenu,
kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata software ambayo naweza kudownload website nzima, ambayo baada ya ku i download website hiyo naweza nika peruzi hata nikiwa sina...
Nina laptop (Win 7 home premium) hapa alikuwa anaitumia mdogo wangu, sasa ikaanza kustack tu bila sababu. sasa nataka kubadilisha OS installation nayo inagoma ikifika kwenye expanding files...
Habari zenu wakuu. I know hapa ndani kila kitu kina majibu. I want to be a software developer so nauliza hapa kwetu bongo which is the best college which can guide me to my dream career. Nataka...
Wakuu nisaidieni, namba hii (+500200c691) imekua ikituma empty sms kwenye simu yangu mara tatu kwa siku tatu tofauti zisizofuatana. Kwa mwenye uelewa nayo msaada tafadhali.
We are in need of a guy who is good in graphics with a strong expertise on the use of HTM and CSS. The job is a single project and not a long time employment, if you are interested about this...
Poaching is threatening the survival of rare monkeys, Sanje Mangabay, a delicacy for thousands of villagers along Udzungwa Scarp Forest Reserve in Kilombero district, Morogoro region, it has been...