pajero io

pajero io

undugukazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
315
Reaction score
82
Jamani msaada wa maoni ya aina hii ya gari?-mistubishi pajero io----- Nini matatizo yake makubwa na yanatibika vipi?
 
Mkuu hicho kimeo. Kimbia kama huna akili nzuri
 
Ningekushauri usibaki kusubiri tu maoni ya watu wa hapa JF bali ni vyema ukatembelea watu wenye utaalam na mambo ya magari. Ususani mafundi magari. Watakupa ukweli.
 
Asante wadau ila nimeongea na wamiliki wa hayo magari pia wanadai pajero ni matunzo tu...usiweke mafuta machafu na service on time pamoja kuweka vifaa genuine...bado naendelea na uchunguzi polepole ni gari nzuri sana
 
matatizo gani yanayokukabili ??? hizo gari mafundi wanaoziweza ni wachache saa ... ni pm nunieleze tatizo nitakupa contact za fundi
 
Back
Top Bottom