Web developers Naomba Muiangalie hii

tinya

Member
Jan 4, 2010
77
30
Habari zenu wakubwa.
Naomba wataalamu waangalie hii website halafu waniambie kasoro/ mapungufu yake kitaalamu. Plz naomba msaada wenu.
 

NYENJENKURU

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
1,035
244
1.Kwanza rangi hazina mpangilio
2.Je ni ya kolamu ngapi eg 1,2,3
3.Mpagilio wa maneno haujakaa sawa
 

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,293
1,845
Avoid rangi nyekundu, inaumiza ubongo, kama inaendana na rangi za kanisa basi sawa ila ningejaribu kupunguza ukali wa rangi.
Link nyingi broken.
Picha haiload.
Menu imebana kabisa kushoto weka ka padding kidogo.
Kuna gaps kubwa kati ya menu ya kushoto na maandishi same kwenye header.
Nadhani u kiicentre na kuweka eneo la wazi kulia kama kushoto itakuwa safi.
 

MtuMmoja

Member
Aug 30, 2011
77
13
Kaka hizo rangi zinaumiza!!jaribu kucheki mifano ya website nyingine uone rangi wanawekaje!!pia katika hizo link zako jaribu kuziweka rangi zinazoonekana zaidi ili zitofautiane na text nyingine!!!!Otherwise For the begining you did it!!!
 

mdeesingano

Member
Aug 12, 2008
65
19
Its good,

Ila rangi kidogo ni utata kwa kweli... Jaribu kuzibadili kidogo!

Ila, we say, so far so good... Kama unaenda kibaha from gongolamboto, basi ushapita kibamba tayari...

Big up!

TanzaniaKwetu
 

emanuel.feruzi

Senior Member
Apr 25, 2009
103
8
Can I help you to do design and you can change it to HTML? If yes, please send me the logo and he basic colors. And I will try and sketch something and together with the JFers we can see how to make it look mwaaaaaaa! ;)
 

tinya

Member
Jan 4, 2010
77
30
Can I help you to do design and you can change it to HTML? If yes, please send me the logo and he basic colors. And I will try and sketch something and together with the JFers we can see how to make it look mwaaaaaaa! ;)

there are no basic colors may be the logo.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom