BAISKELI aka BICYCLE.- Maoni yanahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BAISKELI aka BICYCLE.- Maoni yanahitajika

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Sep 27, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hi wakuu wa teknolojia.
  Ni baisikeli gani nzuri bei yake na specification.

  Natanguliza shukrani
   
 2. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  SWALA, Ina spoku ringi zote, sterling yake ikipinda inanyoosheka, kiti chake cha nyuma waweza kupakia mzigo na tairi zake kama unatembelea njia zisizo na miba si rahisi kupata pancha.
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
 4. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Mkuu umenikumbusha mbali sana.. anyway from my personal knowledge

  ni ile yenye
  -Gear ili iwe rahisi kwenye milima
  -Spring ya kati na sio ya kwenye kiti,full mneso
  -Taa kali isiyotumia Dynamo yaani ya battery
  -Helement kama ya fomular one bike ili traffic wasizingue
  -Yenye kidumu cha maji kwa chini pale.

  yaani fulu Sharobalo mtaani mademu wote wako..halafu una ride umetupia Ipod yako.haha dad i miss my old life aisee. sijui mkuu kama nimekujibu sawa
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu au unahitaji phoenex nini au BMX
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuuu ksante sana mimi ni rafiki sana wa google na wikipedia. Nikweli siuweka wazi nipenda watu wanipe uzoefu wa au maoni yao mfano
  • Mtu wa dar akitaka kununua baisieli kw ajili kwenda kazini au hatakw aajili ya ufanyia mazezi siku za weekend utamshauri nini au basikeli gani au duka gani na awe si pungufu ya kiasi gani.
  • Mtu anataka kumnunulia basikeli ndugu yake yuko kijijini kwa shughuli za kijijini. So sometime inafanya kazi nzito. Au Kazi ya basieli kuwa kama taxi . Kama zipo za gear au zote anataka kujua ni baikseli gani itafaa na gharama yake kwa hapa bongo na duka lenye choice

  Hahaha Sharo nimekukumbusha wapi mkuu hahahah .
  Aksante sana umajaribu kunijibu . Mkuu sasa kwa dar kwa matumizi ya kimjini namitaani kama mtu anataka hiyo baiskeli ya gear nzuri ita mcost shlingi ngapi na duka gani la kununua na ni model gani nzuri.
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hiyo ya pili nunua Phoenix, Swala au Shang Shen! Kitu unakwea milima!
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu nadhani hizi baiskeli ni flashback kwenye soko hazipo. Labda Phoenix na zenyewe kuna type kibao haijulikani phoeni x halisi ya mchina ni ipi na phoenix ya mchina iliyochakachuliwa ni ipi.

  Hivi swala si kiwanda chao kilikuwa Dar. Lile eneo kuna nini siku hizi? Katika sera ya kilimo kwanza si wangekifufua hik kiwanda . then kila mkulima awe na usafiiri wake wa baiskeli kumrahisishia movement za hapa na pale.

  Anyway aksante sana mkuu umenikumbusha lile tanagazo la shang shen "inabeba mizgo zaidi ya punda" na "kwa madaha ndiyo yenyewe "
   
 9. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Umenikumbusha enzi zile unaambiwa ukifahulu mtihani ukawa ndani ya tano bora unanunuliwa baskeli dah..basi ikawa ni ahadi ahadi nika bahatika kuwa wa tatu lakini wakasema ukiwa wa kwanza ndio tunanunua ahaaa wazazi bwana kumbe walitaka nisome kwa faida yangu...

  Kuna baiskeli moja inaitwa Hamsini kubong'oa jina la kitaaa kwa sababu ukipanda lazima uiname hivi na zina tairi nyembamba sana nazani ni nzuri .

  kwa dar mh..sijui kama kuna watu wanaenda ofisini na basikeli maana miundo mbinu yetu hairuhusu kama wenzetu china kuna sehemu ni za miguu na basikeli tu na gari haziruhusiwi ila kwa dar mh utapigwa PASI na daladala mara fuso imekuchomekea..

  ila mfano zinge boreshewa miundo mbinu nadhani watu wengi tungeendesha ila ajari zitaongezeka.

  Bei last time namunulia dogo zawadi ilikuwa laki 2 hadi nlaki na nusu kwa mountain bike aka ya Gear!
   
 10. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Dah Sharobalo umenichekesha!
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
Loading...