Tofauti ya fm mono na stereo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti ya fm mono na stereo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by JAYJAY, Mar 7, 2011.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,493
  Likes Received: 823
  Trophy Points: 280
  wadau naomba kufahamu tofauti ya fm radio station, kuna nyingine ni mono na nyingine stereo. kwa nini kuna hizi tofauti? je kuna faida na hasara ya kila mojawapo?
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  May be sound engineers wanaweza kuwa najibu zuri lakini simple gooogling ya neno Mono Vs Stereo inaweza kukupa jibu.

  through googlin nimekutanana maelezo haya yanaweza kukupa mwanga

  Pia soma article hii http://www.diffen.com/difference/Mono_vs_Stereo


  So kwa haraka haraka nimeelewa mambo mawili kwanza inategemea originator?( Kituo cha radio kinachotangza na pia inatgema receiver yako( Radio)


  • XX FM wanaweza kutangaza kwa Sterero lakini radio yako ikakuruhusu suku tune kwenye mono.
  • XX FM wanaweza kutangaza kwa stereo lakini kulingana na eneo/umbali ulilopo kutoka mnara wa matangazo hata kama ume tune kwenye steroo ukapata mono

   
 3. FM stereo

  FM stereo JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 8, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  umeshaelewa maana ya FM stereo?
  Kama bado nirudi kukupa mwangaza tena.
   
 4. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  mkuu swali lako kidogo umechanganya.... coz FM ni kitu kingine kabisa kati ya hivyo vingine... FM (Frequency Modulation) ni technology ya kurusha signal...kama nakumbuka vizuri ni moja kati ya njia nzuri ya kurusha siginal ukilinganisha na AM (AMPLITUDE AMPLIFIER)

  Sasa mono ni pale unapokuwa na channel moja tu na stereo ni pale unapokuwa na chanel zaidi ya moja....
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Mono sauti ni moja so spika ya kushoto inatoa sauti ile ile kama ya kulia. Stereo ni sauti mbili au zaidi so sauti ya kushoto inaweza ikawa tofautio na ya kulia, so kutegemea na kitu unachosikiliza unaweza ukapata effect tofauti kwa kutumia stereo, hii ndo effect ya surround sound ambayo ukiangalia movie mlipuko ukitokea upande wa kushoto kwenye screen na sauti nayo inatokea kushoto etc.
   
 6. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  naona umechanganya weye mkuu. kati ya mono na stereo zote ni FM. FM maana yake ni frequency modulation. yaani ni njia ya kusafirisha matangazo ambapo yakifika kwenye reciever au radio yako lazima yafanyiwe demodulation ili upate kusikia saute. stereo maana yake ni sauti inakuwa decoded into two speakers kwa hiyo quality ya sauti inakuwa ni nzuri kuliko moni ambayo ni speker moja.
   
Loading...