Msaada configuration za wireless network katika linux

Shark's Style

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
311
182
Wadau msaada wa jinsi ya ku configure wireless network katika linux mint natumia laptop aina ya compaq presario cq 61-218EM nimeenda kwa network administrator anasema ameshindwa kuconnect wireless kwenye pc yangu sababu hawezi kuziona wireless networks, so kama kuna mtu anaefahamu namna ya kufanya configuration za wireless card anipe maujanja namna gani naweza kusolve hili tatizo manake alichoniambia nifanye yeye ni ku update system ila naona haijasaidia.
Regards,
shark's style.
 
Did install drivers for wireless? If No Install, I Yes check if is On or Off on Laptop should be a switch or check the keyboard pad
 
I think I can't install it, Can you tell me how to install it? Manake nimehangaika mno kufanya hivyo, so kama unajua command ya kufanya installation ya hiyo driver can you help? Kuhusu switch ya wireless inakuwa always on kwenye upande wa linux na hauwezi kuitumia kuzima wireless card ila kwa windows unaweza ku switch off. Msaada nifanyaje kuinstall hiyo driver kama imekuwa missing na pili nitawezaje kucheck if driver ipo or haipo?
Regards,
Shark's Style.
 
Natumia linux mint mkuu iila nimeshaitoa manake imenichemsha mkuu, lakini kama unaushauri mzuri niweze kuconfigure next time itakuwa ime kaa poa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom