Msaada: kupata internet kwenye blackbelly

Chrizo

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
714
789
Wanajf naomba msaada wenu jinsi ya kupata configuration za internet kwenye blackbelly manake nikijaribu kufungua wananiambia nicontact service provider. Natumia tigo
 
Tuma neno BB30 kwenda 15518 then utapewa maelekezo, ila huduma hii ni prepaid na hutozwa 20,000/= utatumia one month unlimited internet including blackberry downloadable aplications which include facebook, tweeter, blackberry messenger (BBM) na kadhalika unayoweza kudownload kwenye cmu yako kupitia application world
 
huduma ya tigo ya internet kwa simu za blackberry ni sh elfu 20. unachotakiwa kufanya ni kuingiza vocha ya kawaida ya elfu ishirini. halafu unatuma meseji yenye ujumbe wa BB30 kwenda namba 15518. hapo utakuwa umejiunga tayari. utatumia huduma hiyo kwa mwezi mmoja
 
Shukrani wakubwa hapo juu. Duh 20,000 mshahara huo
 
Back
Top Bottom