Laptop Lenovo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laptop Lenovo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Dio, Oct 26, 2011.

 1. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mambo vipi wakuu natumaini wote ni wazima
  nina tatizo kuhusu laptop aina ya lenovo E40
  tatizo lake ipo katika lugha ya kichina sasa nimejaribu kuchange iwe ya english nimeshindwa,ila kwenye keybord ipo in english,na ni window7
   
 2. i411

  i411 JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Daa hiyo iliibiwa kutoka kwa mchina nini madili mengine bongo siku hizi hewa……. labda kopi yake ya OS niyakichini orijinal hapo ndo kwenye katatizo
   
 3. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  jamaa yangu ndio aliyekuwa anaitumia na kasema kuwa ilikuwa ktk lugha ya kiingereza ila hajui alikogusa mpaka akachange lugha nimejaribu kuifuatisha na pc katika kubadilisha lugha bt nimeshindwa.
   
 4. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  load upya Os.
   
 5. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  poa mkuu ngoja nifanye hvyo.
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Huna haja ya Kuload upya OS


  Sasa mkuu kama kwenye keyboard iko in english ni wapi unapopata kichina?

  Anyway
  Jaribu kwenda kwenye contrl pannel then tafuta keyboard huko kuna masetting kibao. Gooogle "kenyabdr language setting" utaona malekezo mazuri. Kwa kuanzia soma hii hapa Installing East Asian Language Support under Windows XP
   
 7. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Ukienda kwenye Contol panel Reginal and Language setting zipo je?
   
Loading...