IrDA
JF-Expert Member
- Aug 26, 2010
- 743
- 350
Wanajamvi kuna watu wengi wanaexperience slow internet speed kutokana na kuconnect kwenye EDGE badala ya 3G yenye kasi kubwa.Hii inatokana na ukweli kwamba sehemu nyingine hasa mabondeni na mbali na mji 3G signals ni weak(hazina nguvu).
Nadhani hii yaweza kusaidia.
1.KWA WALE WENYE DASHBOARD ZA AIRTEL,TIGO AU ZANTEL
Fungua dashboard yako,mfano mimi natumia airtel so nafungua Zain e-Go
Click tools then options then network then chagua WCDMA ONLY
Hii ni njia ya kuilazimisha modem yako iconnect kwenye 3G network hata kama signals ziko weak
Kwa mimi imenisaidia na spidi yangu imeongezeka
2.KUTUMIA LOCAL ANTENNAE
Modem zetu nyingi hazina sehemu ya kuchomeka external antenna kuincrease signal reception kwahiyo waweza kuweka chombo chochote cha aluminium karibu na modem yako wakati unaitumia na kitafanya kazi kama external antenna.
Ni ubunifu tu wakuu sina guarrantee kwamba itafanya kazi,kwakuwa haidhuru mwaweza kujaribu na kunipa feedback kwa kuniPM au kucomment