Hello! Naomba mnisaidie katika fani hizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hello! Naomba mnisaidie katika fani hizi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Baalawy, Oct 24, 2011.

 1. Baalawy

  Baalawy Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wataalamu ninaomba kuuliza kuwa kati ya hizi kozi za computer ni ipi mzuri na inamata duniani na zaid Tanzania kwa mfuatano,,kozi zinyewe ni: Bsc in information technology,,,,B.E in information technology,,,,,,Bsc in computer science,,,,B.E in computer science & engineering,,,,B.E in information science & technology na nyingine mtakazoziona ni mzuri ktk fani hii kwa technolojia ya sasa.
  Na ninajipanga kwa mwakani Mungu akitujaaliya.
   
 2. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kwa kuanza engineering is a science iliyoongezewa designin topics in it. So ukizungumzia engineering unazungumzia designing na hiki ndo kitu kilichoongezeka ktk engineering couser ukilinganisha na normal science courses. Kwa upeo wangu, B.E(bachelor of engineering) courses ni nzuri kuliko Bsc courses provided jina la kozi ni sawa(computer science, electronics, etc) coz sylabus zake somehow zinachimba deep kidogo kuliko pure science courses. Na masomo ya engineering courses yanakufanya somehow uwe multipurpose ikiwa utakuwa na discpline ktk ufuatiliaji. Namaana kwamba kukiwa na watu wawili, mmoja wa computer science na mwingine wa computer engineering, then wa computer engineering atategemewa kuwa na vitu vingi na kufit sehemu nyingi kuliko wa computer science.kuhusu speciefic course kwamba ipi ni nzuri cwez kuwa na jibu la moja kwa moja coz inategemeana na upenzi wako. But generaly naweza sema kwamba engineering courses ni nzur kuliko science courses for same course name. Bt nakushauri kama ni kusoma, soma kitu unachokipenda kwani ndo kitakuwa kizuri kwako.
   
 3. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  BSc.SE(SOFTWARE ENGINEERING)
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  soma zote zitakusadia
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Hizo zote zipo chuo kimoja? Maana mara zengine majina hayako standard so ni vizuri ufananishe syllabus kisha uamue ni ipi unataka, majina yasikuchanganye sana.
   
 6. Baalawy

  Baalawy Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuelewa mkuu kiasi, bali napenda nipate ushauri ipi ni mzuri coz kama napenda kimoja tu hata nisinge uliza ni kwamba zote kwangu nazipenda ndio maana nikaomba ushuri kwenu ipi iliopo juu na ikifuatiwa na ipi kwani sahizi dunia hairudi nyuma usije ukasoma kozi halafu ukuja kuambiwa haina tena soko,,itakuwa hujafanya kitu,,,,,,,,,,,kwa hiyo wataalamu naombeni munipe ushauri na hata mawazo pia kuwa ipi ni mzuri kwa ulimwengu wa sasa na wabaadae,,,,,,,,ahsanteni ,plz....
   
 7. Baalawy

  Baalawy Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Nimekuelewa mkuu kiasi, bali napenda nipate ushauri ipi ni mzuri coz kama napenda kimoja tu hata nisinge uliza ni kwamba zote kwangu nazipenda ndio maana nikaomba ushuri kwenu ipi iliopo juu na ikifuatiwa na ipi kwani sahizi dunia hairudi nyuma usije ukasoma kozi halafu ukuja kuambiwa haina tena soko,,itakuwa hujafanya kitu,,,,,,,,,,,kwa hiyo wataalamu naombeni munipe ushauri na hata mawazo pia kuwa ipi ni mzuri kwa ulimwengu wa sasa na wabaadae,,,,,,,,ahsanteni ,plz....
   
 8. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kwasasa ktk industry wanaangalia umespecialize kwenye nini? hizi degree za computer zina mambo mengi sanaaa ambayo huwezi ukacover within 3 years labda tu upige general yaani kuchakura kila mahali na mwisho wa siku utavaa gown ukiwa shallow kila eneo la computer eg. networking, programming, database, web etc na ndio tatizo linaloisumbua tz na sababu ya employers kuajiri graduates wa nje coz wao wamespecialize eneo 1 au 2. sasa hivi duniani kuna degree zaidi ya 200 za computers kama java, c# ni degree! na hawa ndio wanaotakiwa... hizo kazi za networking wapo watu wakuzifanya

  angalia course ambayo inaonesha utaspecialize zaidi ktk eneo moja ili uwe mpana
   
 9. P

  Prof. Engineer Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  B.E in computer science & engineering:- Soma hiyo mzee ndo iko deep, lakin unawilin au unasomea fashion coz inakutaka uwe unaumiza kichwa na uwetayari kujifunza kila wakati coz technologia inabadilika kila nukta na uwe mwepesi kuchanganua mambo na kumiza kichwa, ss km huna internal force utabuma mwana. Gud tim.
   
 10. HT

  HT JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  do what you love and make revolution. Even Gates and Jobs jumped in a wagon that was weak and made it what we see it!
   
 11. Baalawy

  Baalawy Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante mkuu kwa ushauri wako,,kwani aidia mzuri sana lakini ukiangalia syllabus za degree hizi JAVA na C# ni topic ndani ya hayo masomo nilioyataja,utawezaje ukasoma hizo tu na kuna topic nyengine nyingi,ngawaje ni 4yrs lakini ktk degree hakuna kuspecialize,,,,nazani hiyo labda master na uwezo wenyewe ni wamanati,,,,,sasa hapo kwa ushauri wenu mtanisaidiaje na uwezo ukiangalia uwezo ni kwa degree tu?,,,,na vp kuhusu mambo ya masoftware TZ?,,,,,na hz JAVA na C# zinadili na vi2 haswa?...
   
Loading...