Tunaomba ushauri wako!

Tunaomba ushauri wako!

Hadoop

Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
88
Reaction score
15
Tupo ktk mchakato wa ku implement e-LMS. Framework tunayotumia ni .NET(ASP.NET). Tunaomba ushauri wa Open source e-LMS ambayo tunaweza ku-customize kulingana na development environment yetu.
Shukrani.
 
Tupo ktk mchakato wa ku implement e-LMS. Framework tunayotumia ni .NET(ASP.NET). Tunaomba ushauri wa Open source e-LMS ambayo tunaweza ku-customize kulingana na development environment yetu.
Shukrani.

Naanza kuona fahari ya kuwa JF, maana jamaa baada ya kukosa pakutokea akaamua kujiunga JF faster na kutafuta Solution. Karibu sana boy utapa solution yako faster,bahati mbaya mtu wa kwanza ku reply thread yako siyo mtaalamu wa .NET.

Tatizo la .NET siyo OpenSource huenda ikawa ngumu sana kufanikisha lengo lako,but ngoja tuwasubiri wanataaluma I hope soon tatizo litakuwa solved,Lakini ukikosa basi tumia Moodle but hii ni kwaajiri ya PHP/MYSQL
 
Tupo ktk mchakato wa ku implement e-LMS. Framework tunayotumia ni .NET(ASP.NET). Tunaomba ushauri wa Open source e-LMS ambayo tunaweza ku-customize kulingana na development environment yetu.
Shukrani.
Kama alivyosema requirement zako iznaoneana inaweza kuwa zina coflict au zitakusumbua sana . NET na Open soucce havina urafiki mzuri . Japo zipo script lakini itabidi uwe na muda sana.

Kama mmeshafanya system requirement specification basi jaribu kutembelea hizi site

Lakini kama "mchakato" unaosema ni wa kuanzia kwenye implimentation tu bila kutafuta majibu ya maswali ya msingi ya analysis, requiremnet specification ,users, usability, accessibiility, design na feasibiity study basi sio mchakato bali mko katika implimentation.
 
Back
Top Bottom