also ni vizur kufahamu ni sumsang model gan unailenga.kwa sababu matoleo ya sumsang ni mengi siku hizi kuachilia touch za michina.pia kuna double lain touch screen sumsang original.
model ipi na ni bei ganiKama mkuu utapenda double line original ya samsung ninayo,ni full sceen touch.garantii 1 year,haijatumika hata mwezi.