Msaada, wakuu!

Msaada, wakuu!

The Pen

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
755
Reaction score
261
Wadau, naomba kujua vyuo vilivyopo Dar ambavyo vinatoa kozi ya Graphics Designing, i.e., Photoshop, Illustrator, na In-Design.

Natanguliza shukrani.
 
Kama unataka kujua kitu chochote katika ICT ifanye SEARCH ENGINE zote kuwa rafiki wako wa karibu mfano GOOGLE.COM. hivi vyuo vya kibongo aibu tupu.labda kupata cheti tu,lakini unaweza kupata BA ya Computer Science lakini ukatoka kapa
 
Back
Top Bottom