Natafuta sumsung galax pro.

Natafuta sumsung galax pro.

NGOWILE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
454
Reaction score
258
Wadau natafuta cm aina ya sumsung galax pro mpya.mwenye nayo anicheki 0713-014400
 
Wadau natafuta cm aina ya sumsung galax pro mpya.mwenye nayo anicheki 0713-014400

samsung galaxy pro niliona kwenye maduka ya k/koo. sh 400,000-320,000.
4 more data ungeenda kwenye forum ya technology huku 2nadili na siasa
 
nenda madukani acha kutusumbua

Acha kuwakatisha tamaa wenzio, kama huna cha kumsaidia kwani ni lazima uchangie,
Unadhani Member wote wangekuwa rude kama wewe, ungemudu kukaa humu ndani hadi leo, be gentle bwana toeni utoto wenu wa Facebook,
Kama umeshidwa kuwa mstaarabu rudi zako Facebook ulikozoea utoto huu!
 
hivi Jf ina mods wanaofanyakazi part time? Nafikiri wameshaondoka ofisini now we are free as a molecule! Bado post ya mpenzi wangu kanitema itaingia sasa hivi!
 
hivi Jf ina mods wanaofanyakazi part time? Nafikiri wameshaondoka ofisini now we are free as a molecule! Bado post ya mpenzi wangu kanitema itaingia sasa hivi!
Tutafika huko kweli?
 
1. Hapa ni mahali pa habari za Siasa na Sio Biashara

2. Samsung Galaxy kuna almost 3 types which one do u prefer???
 
mh.nipo porini sana so ningepata mdau ingekuwa ni rahisi kuipata
 
Back
Top Bottom