Remote control na simu za mkononi kwenye kitufe cha namba 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Remote control na simu za mkononi kwenye kitufe cha namba 5

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mhondo, Oct 29, 2011.

 1. m

  mhondo JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Nimeangalia remote control nyingi na simu za mkononi na kubaini kuwa kwenye kitufe cha namba 5 kuna kinundu kidogo. Nataka nielewe kazi yake ni nini au kina maana gani?.
   
 2. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,279
  Likes Received: 10,463
  Trophy Points: 280
  kwa matumizi ya vipofu.
   
 3. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,324
  Likes Received: 3,464
  Trophy Points: 280
  heeeh? af namim nimeona aisee
   
 4. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,071
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  inategemeana na simu.
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,117
  Trophy Points: 280
  Mpwa hizo ni alama kwa ajili ya vipofu! ANgalia keyboard yoyote hata ya simu kama blackbery utakuta kuna kitufe 5 na photocopy machine pia zina hicho kitufe
   
 6. m

  mhondo JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ahsanteni kwa kunielewesha.
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Mbona simu yangu haina kitufe chochote.
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  inamaana vipofu wanatumia namba 5 tu. Naomba unieleweshe zaidi.
   
 9. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  ukweli upo nyuma ya pazia
   
 10. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  most kwenye cm za nokia ila kwa samsung hamna hiyo alama.!!!
   
 11. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  na simu za touch screen kama Iphone vipofu wamekumbukwaje' maana hamna buttons,,,,
   
 12. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mimi natumia samsung kuna hicho kialama!
   
 13. M

  Museven JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  mchina huyo
   
 14. Mr. Miela

  Mr. Miela JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kipo angalia vizuri, ila kwa simu za touch hakipo hope vipofu hawapaswi kuzitumia
   
 15. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sio 'vipofu' bali ni 'wasioona' au walemavu wa macho. Bado hatujaeleweshwa vizuri kuhusu hizo alama. Tujuzeni jamani mnaofahamu.
   
 16. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,651
  Trophy Points: 280
  Kama ulipewa na magamba haiwezi kuwa nacho,nakushauli kaitupe dampo ununue ya kwako kihalali.
   
 17. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kaka hiyo ni lead tu; Kwa mtu mwenye matatizo ya kutoona vizuri; akigusa kwenye key na kukuta kinundu anaelewa kuwa hiyo ni namba tano, kutoka hapo anajua upande wa kushoto kuna key zipi, halikadhalika kullia, juu na chini. Jaribu pia kuangalia kwenye keyboard ya computer yako, kwenye Herufi F na J kuna alama.
   
 18. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Ukweli upi mkuu, funguka; au ndy alama za Freemasons ahahaaa! Natania bana!
   
 19. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  MSISITIZO!Tutumie neno walemavu wa macho ama wasioona na si VIPOFU!
   
 20. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Kwa ajili ya vipofu kama walivyosema wengine, simu za touch zina system zengine kwa ajili ya vipofu, kuna story ya Stevie Wonder anaisifia iPhone kwa vile ni rahisi kutumia kwa vipofu.
   
Loading...