ANGALIA MECHI YA CHELSEA Vs ARSENAL ONLINE(kwa wasio na DSTV)

IrDA

JF-Expert Member
Aug 26, 2010
743
350
Wadau kwa wale wasio na DSTV na hawataki kwenda kubanana vibandani mechi ya chelsea Vs Arsenal itakuwa streamed online.Najua wengine mnajua ila kwa wasiojua ni kwamba unaweza kuangalia mechi hii hata ukiwa na internet yenye spidi ya kobe kama modem zetu za hapa bongo lakini kwa ubora ulelule wa tv.Click link hii hapa Chelsea vs Arsenal Live Stream Online
 
hmm! Yan mgejua wegine tunavyofaidi na speed ilivokuwa balaa usipime usidhani coz kwako speed ni ndogo nawengine ni hvo hvo hz mechi zenye hd tena ukiwa na connection ya 1mps unaona mwanzo mwisho sasa mimi apa ni 2 inaenda 3mps. Na ni mitandao wa apa apa bongo.
 
ISP gani?
 
afu mitandao ya tz tena ita ganda hadi mwisho

we nani kakudanganya inaganda,wale wanacompress data first then ndo wanazituma..me natumia airtel modem na nimeangalia mwanzo mwisho kwa spidi ya 122kb/s
 
Back
Top Bottom