Adm sport

K007

Member
Jan 30, 2011
52
3
Wanajamii, kuna mtu ameniletea receiver ya HUMAX kutoka kampuni ya ADMC Sport ambayo tayari imelipiwa mwaka mzima, lakini bado sijajua aina ya dish, satelite, frequency pamoja na direction Naomba msaada wenu kwa aliyefunga dish hizo!
 
Heshima mbele Mkuu.Ni pm nikutumie namba za mafundi wa hiyo Humax ila nitafurahi kama ukiniwezesha niweze kupata kama hiyo kwa jina langu.Naomba full cost
 
Back
Top Bottom