msaada on these drivers

msaada on these drivers

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,487
Reaction score
1,275
nina shida kidogo kuhusu drivers kadhaa za windows 7,je driver inayohusika na ku-display FN key baada ya formatting ni ipi?,na what drivers do you use kama ukitaka ku=update driver na hiyo driver haina jina...like "uknown device" driver...ahsanteni
 
ummm,nimesahau kitu je na driver ya ku=activete scrolling kwenye touch pad?
 
Mhh! maswali yako ni too general! Computer yako ni model gani?
 
toshiba satellite c660-1F3
 
nimefanikiwa kurudisha all drivers tatizo ni hii FN key,bado inasumbua
 
Download Input DeviceDriver of your specific Laptop from Toshiba it might fix your problem japo kwa kawaida fn key works as long as keyboard works normal, hakuna drv of fn keys. or chk pengine it is disabled from your Cmos
 
Back
Top Bottom