Vp hapa maji na kitambaa vinaweza tumika?

Vp hapa maji na kitambaa vinaweza tumika?

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Wadau laptop hii nilikuwa nayo mbali kwa mwezi mmoja hivi sasa nimeikuta imechafuka ina kama michirizi na vidot kama vya maji kuanzia kwnye kioo had hii housing yake JE INARUHUSIWA IFUTA KWA KITAMBAA KIBICHI?
 
nenda kwenye maduka yanayouza vifaa vya electronics kanunue FORM CLEANER(ina2mika kusafishia vi2 vya electronics) itakusaidia kusafisha hiyo laptop yako
 
Back
Top Bottom