nisaidieni wapi kuchukua vitu ulivyotuma kwa Ebay?

khalids19

Senior Member
Jul 27, 2009
156
10
Nimetuma Ps3 Game moja kutoka ebay..lakini kwenye BOX sijaiona nadhani niende kuchukua wapi parcel??

kama Posta ipi? na pia ninayo tracking number.je nikiwapa tracking number watanisaidia kiurahisi?

pia nilikua nauliza ninaweza nikaenda Customs kwenda kuchukua mzigo?je customs ni wapi?

Asante
 
hapo ni makubaliano yenu na mtu alokutumia ulimwambia akutumie kwa njia gan... Kama ni kwa DHL then ilibid wakuletee hadi mlangon kama uliandika full address lakn kama hukuandika inamana inabd uufuate pale pale ofisin kwao. otherwise hiyo trackin number inakuonyesha ni kampuni ganii inasafirisha mzigo wako?
Nimetuma Ps3 Game moja kutoka ebay..lakini kwenye BOX sijaiona nadhani niende kuchukua wapi parcel??

kama Posta ipi? na pia ninayo tracking number.je nikiwapa tracking number watanisaidia kiurahisi?

pia nilikua nauliza ninaweza nikaenda Customs kwenda kuchukua mzigo?je customs ni wapi?

Asante
 
inaonesha ni USPS ndio carrier lakini uwo mzigo ulitumia service ya First Class mail International bila ya tracking no.!
 
In a simple logic mzigo unatumwa kwenye adress uliompa seller wako
Kwani wewe si ulimpa adress? Na je anatumia means gani ya kusafirisha huo mzigo wako?
Mara nyingi mifumo yetu ya adress inawasumbua sana na ndio maana wengine hawatumi kwenye P O Box wanatumia service kama dhl inayokufikishia mzigo mlangoni.
So inategemea na adress yako na aina ya usafirishaji uliotumika
 
Iwapo unanunua kitu ambacho utatakiwa ulipie ushuru, napo utaratibu unakuwaje?
 
In a simple logic mzigo unatumwa kwenye adress uliompa seller wako
Kwani wewe si ulimpa adress? Na je anatumia means gani ya kusafirisha huo mzigo wako?
Mara nyingi mifumo yetu ya adress inawasumbua sana na ndio maana wengine hawatumi kwenye P O Box wanatumia service kama dhl inayokufikishia mzigo mlangoni.
So inategemea na adress yako na aina ya usafirishaji uliotumika

DHL gahli sana..... nimeelewana na yeye anatuma mzigo kwa USPS First Class Mail International....nimekwenda posta wanasema mzigo wangu hawawezi kuutrack halafu mzigo ukifika utafika kwenye Box yangu wameniambia nikitu cha kusubiri tu
 
Back
Top Bottom