Get 50$ free under as much as 30 minutes | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Get 50$ free under as much as 30 minutes

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by e2themiza, Nov 25, 2011.

 1. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Washkaji kuna njia nimeipata ya kutengeneza mshiko chap chap sema niko kwenye testing bado coz unamake cash through

  surveys and alafu ukifikisha minimum cashout ambayo apo ni 50$ unaweza ukaredeem but it takes 5 days for the transfer to

  complete mimi juzi nimeredeem 52$ and leo 77$ so lets wait and see ifike Jumatatu na tuone kama kweli iyo ela nitaipata paypal

  but nimecheki review nyingi about it nyingi inasema its tru na zingine zinaponda.. ok if u want to try it out also fuata my

  procedures...Kuna video ya kuhack na kuzipata izo dollar fasta fasta coz ukitegemea survey unaishia pata only 17$. So wat

  tunafanya ni kutengeneza account nyingine za hapo nyingi buy using ur referal link kila account itakayo fungulia kwa referal link

  yako unapata 1.25$ in your account so apa there is a trick to open kama mimi niliopen 37 account under 30 minutes with my

  referal link na nikapata 52$ leo pia nimepata 77$ under 45 minutes so website:

  nenda register hapa:

  A.W.Surveys The New Survey Experience

  Then sasa fungugua hizo survey ya kwanza ni 6$ dollars just open alafu gawa opinion yake yani just answer izo question ata

  kama ukizirudia it works.. ukikompete survey zote u will get 17$ saa twende kwenye hakck:

  And the hack I use kuget mshiko fasta fasta check hii video nime upload youtube:

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Usisahau kuleta mrejesho! hizi huwa ni wizi mtupu. Halafu akaunti yako ya paypal inakubali kupokea malipo?
   
 3. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Yah mkuu ur rite ngoja tuone... Inakubali kupoke malipo kivp mkuu apo cjakupata kidogo? Kwani zinagoma au unatakiwa kuset ipokee mkuu.. Nieleweshe zaidi apo bdo mgeni paypal mimi.
   
 4. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ndio kuna account za paypal zinakuwa ni send only, hasa ukichagua kuwa wewe ni buyer na sio businessman wakati wa kujiregister
   
 5. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Oh kumbe duu si balaa hi.. ok lets get this straight wakati na jiunga kuna two accounts one ni Individual na nyingine ni Business.. na nikajiunga Individual account.. so inatakiwa uwe na Business account ndo inaruhusu kupokea malipo?
   
 6. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  I'm afraiding about it!!
   
 7. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Oops!Let's wait and see wakuu...ila sidhani paypal za huku kwetu zinaruhusu kupokea mahela.Belivdat
   
 8. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Alafu inawezekana pia sema i thought also so ile 52 dollars nili redem paypal and kesho yake nika amua hiyo 77dollars kuredeem alert pay. So iyo transfer yake ina complete juma nne i think. Sasa apo tutajua ukweli zikibuma zote mbili.
   
Loading...