Kwa kutambua kuwa JF ni google ya kila kitu kutokana na kukusanya Great Thinkers wa kila namna naomba msaada wa mwenye soft copy ya biblia ya kiebrania. Au japo link ya website yenye biblia ya kiebrania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.