Njia hii yaweza kubadili Performance ya computer?

Njia hii yaweza kubadili Performance ya computer?

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,691
Reaction score
640
Wakuu naomba ufafanuzi.
Iwapo natumia desktop au laptop yenye let's say HDD 40GB, RAM 512 GHz, na processor <1BG, je nikiweka let's say HDD 320BG, 3GB RAM na processor 2GB, itakuwa na performance sawa na laptop yenye specifications hizo kutoka kiwandani?
Au kuna other factors to be considered? Na je uchakachuaji huo utaleta improvement yoyote kwenye performance yake?

Nawasilisha.....
 
tatizo ukipiga hesabu ya manunuzi na matengenezo ya vitu hivyo (processor, ram na hdd) utakut ni bora ungeongeza hela kidogo tu ungepata PC mpya nzuri ya kueleweka kuliko hivyo unavyounga isitoshe kwenye ishu ya kubadilisha processor in gharama sana na kupata itakayoendana na system ya machine yako ni ishu maana ukiforce tu inakula kwako!!
 
Nilipenda nipate maelezo ya kitalam juu ya hii theory, na ndio maana nikatoa mfano wa desktop au laptop.
Sina mpango wa kuunga unga. I just wanted to know whether it'll wok or not.
 
Nilipenda nipate maelezo ya kitalam juu ya hii theory, na ndio maana nikatoa mfano wa desktop au laptop.
Sina mpango wa kuunga unga. I just wanted to know whether it'll wok or not.
 
1ghz ni pentium III hivyo mwisho unaweza weka processor hadi ya 1.3ghz maana pentium four inaanzia 1.4ghz na socket ya P-111 na P-IV hazilingani
 
hdd size haina uhusiano na performance ya computer, ila inakuwezesha kuhifadhi kiasi kikubwa cha data kwenye computer yako. kuna vipimo vingine vya hdd ambavyo ndo vinaweza kuathiri performance kama rpm-revolutipm ya hdd discs per unit time, seek time etc.
Memory inaongeza performance ila Operating systems, processors na maimboard zina limitation on the amount of memory they csm addres
 
hdd na ram unaweza kubadili bila shida yoyote na performance ikaongezeka.sema kubadili processor ni very risk. .nunua mashine yenye processor kubwa average kwanzi 1.50ghz nakuendlea alafu ndio ucheze na ram au hdd.kikubwa kwnye performance ni ram size na proces.pia wndow isipo kuwa na features nyingi kama seven na vista inakuwa na performance zaid .
 
KU upgrade CPU inabidi ujue specs za motherboard ya pc yako. wa hiyo inabidi ujue Motherboard manufcturer na model.

Unachohitajika kujua kama alivyotaja mdau mmoja ni information CPU socket pamoja na detail za clock rate. Vile vile motherboard za intel na AMD sometime zinatofauti.

Kwa hiyo cha kufanya kama unajua model ya motherboard dowload na soma manual yake.

Yes kwa desktop uchakachuji huo ni rahisi kuufanya na unaweza kuongeza performance. Sababu mpaka Kompyuta unayonunua inaingia sokoni basi ujue tayari kunakuwa na CPU bora zaidi kuliko ile iliyotumika na amabzo zinaweza kutumika bila kuathiri mashine yako

Nawasilisha hoja
 
Umegeuza specs kidogo RAM ndo inapimwa in GB na Processor in Ghz.

Swala unalosema theoretically linawezekana, ila practically lina matatizo kadhaa hasa kwa upande wa processor, kama PC ni ya zamani ni vigumu sana kuweza kupokea processor mpya, design zake ziko tofauti sana, motherboard haitakuwa compatible. Size ya HD haitaongeza spidi, ila HD nazo zina spidi tofauti so kama ukiweza kuweka faster HD inaweza ikaongeza performance (kama itaweza kutake advantage of faster HD).

Njia rahisi sana ya kuongeza performance ya PC ni kuongeza RAM, tatizo kubwa hapa ni kuwa utagonga limit ya RAM PC inayosupport, kwa mfano nina laptop Maximum inapokea 2GB RAM. Somo hapa ni unaponunua PC hakikisha ina uwezo mkubwa wa kuongezwa RAM baadae.

Pia kuna mambo kama graphics processor/card kwenye laptop hizi ni almost impossible kuapgrade. Kwenye Desktop ni angalau ila inategemea motherboard ina accept card za aina gani.

Na hata motherboard yenyewe ita effect performance.
 
tatizo ukipiga hesabu ya manunuzi na matengenezo ya vitu hivyo (processor, ram na hdd) utakut ni bora ungeongeza hela kidogo tu ungepata PC mpya nzuri ya kueleweka kuliko hivyo unavyounga isitoshe kwenye ishu ya kubadilisha processor in gharama sana na kupata itakayoendana na system ya machine yako ni ishu maana ukiforce tu inakula kwako!!
Mbona unamkatisha Tamaa huyo kijana? Mbona mimi ya kwangu nimebadili desktop na ipo Performance ya computer kubwa ? Natumia HDD 1 TB, 3GB RAM Processor Intel(R) Core(TM)2 Duo CPU E7600 @ 3.06GHz, 3066 Mhz, 2 Core(s), 2 Logical Processor(s) na ipo speed utafikiri ndege vile muachieni kama anazo pesa afanye Performance ya hiyo Computer mimi nakushauri fanya hiyo Performance ya Computer ya desktop.
 
Back
Top Bottom