Computer pentium 2,inaweza ku run 40gb hdd?

Computer pentium 2,inaweza ku run 40gb hdd?

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
861
Reaction score
160
Jamani wataalamu hamjambo?JE,C omputer Pentium 2,inaweza kuwekewa hdd ya 40gb na ikakaa vizur?Ipi njia ya kuweka hiyo HDD?
 
Ndio.Hata zaidi ya hapo.Nilishawahi kuweka 60Gb HDD kwenye compaq p2 bila matatizo.Tena ilikuwa na ram 128mb na win xp.
 
Back
Top Bottom