Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,079
- 2,334
Jamani. Nina akaunti twitter. Nimekutumia miaka mingi. Mie sio mtu wa kuandika andika sana. Ila huwa naweza kumjibu mtu. Siku moja maria teshai aliandika kitu mie nikatofautiana nae. Akaniblock. Sikumjibu vibaya wala matusi ila nilitofautiana nae. Sasa baada kama ya miezi 3 hivi naona akaunti yangu iko permenently suspended.
Nifanyeje ili ifunguliwe? Kuna sehemu ku appeal. Nimeshaandika huko lakini hakuna majibu.
Kichwa cha thread neno la mwisho liwe suspended sio blocked
Nifanyeje ili ifunguliwe? Kuna sehemu ku appeal. Nimeshaandika huko lakini hakuna majibu.
Kichwa cha thread neno la mwisho liwe suspended sio blocked