Msaada: WhatsApp yangu imegoma kufanya kazi

Msaada: WhatsApp yangu imegoma kufanya kazi

helena mgomu

Member
Joined
Sep 19, 2022
Posts
17
Reaction score
14
Hello,

Naomba msaada WhatsApp yngu imegoma kufanya kazi, kila nikijaribu kuirudisha inadai account is being on a registered new device! Nisaidien niirudishe vipi.
 
Kuna mtu anatumia whatsaap yako kwenye web au ulilog in kwa kutumia browser halafu ukasahau kulog out..
 
Nimekutumia pm

mpaka umtumie pm wakati mtu kaandika uzi,

Kijana unaonekana una shobo sana wewe kuingia kwenye PM za watu,unashindwa kumjibu hapa ili endapo mtu akapata tatizo kama hili akute kuna uzi na umsaidie
 
Back
Top Bottom