Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Habari wana JamiiForums,
Leo asubuhi niliripoti kukatwa na GOOGLE PLAY kimakosa kutokana na app moja ambayo ilikuwa ina run kwenye android yangu ambayo siku ya jana ilifanya malipo automatically na mimi kupata notification za kukatwa pesa.
Nashukuru nimefanya mawasiliano kampuni husika na hatimaye jioni hii wamenirudishia pesa yangu Tshs 71,000/= kwa uaminifu kabisa baada ya kuomba nirudishiwe muamala ambao ulifanyika kimakosa.
Asante wanajamii forums kwa ushauri mlionipa kuanzia asubuhi mpaka muda huu nimerudishiwa pesa zangu zote.
Asantenti na tuweni makini na hizi apps zinazopatikana mitandaoni maana sio zote ni za halali.
TAKE CARE