Kwa bajeti ya Tsh 800,000 (laki nane) naombeni ushauri ninunue simu gani nzuri

GanaJr

Senior Member
May 26, 2020
109
172
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.Mungu aendelee kutupigania katika harakati zetu ili tuweze kufanikiwa.

Twende kwenye jambo lenyewe sasa. Wakuu mimi nina kiasi cha hiyo hela nataka kununua simu hivyo nimeona nilete hili wazo humu ndani nipate ushauri mzuri kutoka kwenu. Simu ninayotaka nataka iwe na vigezo vifuatavyo

_display nzuri
_uwezo wa kukaa na chaji angalau Masaa kumi kulingana na kazi ninayofanya.
_Camera nzuri
_storage angalau ianzie 128gb
_Ram angalau pia ianzie 6gb

Karibuni kwa mawazo hapo, najua humu Kuna watu wazoefu wa haya mambo hivyo naombeni ushauri hapo.

NB, nataka mpendekeze android mobile phone maana huko upande wa pili yaani ios si mshirika maana na kwa hiyo bei niliyo nayo siwezi Pata hata iPhone X iliyo kwenye ubora mzuri.

Natanguliza shukrani.
 
Ukiongeza bajeti around 60,000/- unaweza pata Samsung Galaxy A52S, ni mid range iliyokamilika kwenye idara nyingi.

Vinginevyo A52 ila sio Kali kihivyo.

Hata hapa machaguo mengine.
XIAOMI REDMI NOTE 11 PRO 5G - 764,000/-
Xiaomi Poco M4 5G - 525,000/-
Oppo A94 5g - 674,000/-
Xiaomi Poco f3 - 715,000/-

Ukiongeza bajeti around 60,000/- unaweza pata Samsung Galaxy A52S, ni mid range iliyokamilika kwenye idara nyingi.

Vinginevyo A52 ila sio Kali kihivyo...
Shukrani sana mkuu naona watu wengi wanashauri A52. Hii nadhani itakuwa nzuri maana watu wengi wanaisifia.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.Mungu aendelee kutupigania katika harakati zetu ili tuweze kufanikiwa.

Twende kwenye jambo lenyewe sasa. Wakuu mimi nina kiasi cha hiyo hela nataka kununua simu hivyo nimeona nilete hili wazo humu ndani nipate ushauri mzuri kutoka kwenu. Simu ninayotaka nataka iwe na vigezo vifuatavyo
_display nzuri
_uwezo wa kukaa na chaji angalau Masaa kumi kulingana na kazi ninayo fanya.
_Camera nzuri
_storage angalau ianzie 128gb
_Ram angalau pia ianzie 6gb

Karibuni kwa mawazo hapo, najua humu Kuna watu wazoefu wa haya mambo hivyo naombeni ushauri hapo.

NB, nataka mpendekeze android mobile phone maana huko upande wa pili yaani ios si mshirika maana na kwa hiyo bei niliyo nayo siwezi Pata hata iPhone X iliyo kwenye ubora mzuri.

Natanguliza shukrani.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app

Unavyosema huwezi kupata iphone x ambayo haipo katika ubora mzuri unamaanisha nini hapo mkuu?
Kwamba huwezi kupata mpya au…?
 
Mkuu una matumizi makubwa au kawaida tu?
Ni power user au utakua unatuma tu message WhatsApp na kupiga picha?

Nijibu nikushauri simu ya kuchukua
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom