Msaada wa Telegram movie channel

Msaada wa Telegram movie channel

single father

Member
Joined
Oct 22, 2019
Posts
77
Reaction score
117
Samahani wataalam ninaomba msaada namna ya kupakuwa movie kwa Telegram channel kwani inaoneka inashuka na mb zinakatika ila ikifika mwisho hakuna kitu na hii ni kwa format ya mkv ila kwa mp4 haina shida nawasilisha
 
Jaribu kutumia netnija.com wapo vizuri mno movie zao zina mb chache na quality nzuri pia wapo telegram
 
Back
Top Bottom