Wakuu anaeweza ku unlock hii router anipe bei

Wakuu anaeweza ku unlock hii router anipe bei

Mr Kazembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
392
Reaction score
529
Wakuu nahitaji mtu anaeweza ku unlock hii router moja kwa moja iwe inatumia mitandao yote sio kama maelekezo ya youtube inakuwa ina unloked ila ikizima ukawasha inarudi tena locked sasa nataka iwe moja kwamoja unlocked iwe inasoma mitandao yote milele .

IMG-20221201-WA0018.jpg
IMG-20221201-WA0016.jpg
 
Hio ninayo hata mimi, kuifungua ni kwa muda tu (temporary) ikizima ikiwaka una unlock upya, sijaona hadi sasa mbinu ya moja kwa moja...

Najuta kununua hizo za airtel, zile za tigo nadhani zinafunguka moja kwa moja

JINSI YA KU UNLOCK

Software ya ku unlock >> hii hapa <<

Matumizi yake.

Chomeka line yoyote ambayo sio ya airtel, itaandika "device locked"

washa modem kisha iunganishe kwa waya wa usb kwenye pc

fungua device manager (minya search andika device manager), tafuta sehem imeandikwa , hapa ipo chini ya others ila pc nyingine inaweza kuwa kwenye ports

1681666517070.png


Right click hapo, chagua update drivers, minya browse computer. ingia kwenye folder kwenye ile software niliyoweka limeandikwa "MiFi Tool & Drivers" kisha chagua (sio kufungua) folder la "LTE_MIFI_Generic_Driver" then minya "ok". hapo drivers zitaingia.

1670015205430.png


Hapa drivers zimeingia, tunaweza kuona mobile at interface imekuwa updated kuwa marvel at interfacr
1670015662180.png



Fungua ile software, hii sehemu iliyozungushiwa inabidi isiwe tupu, kama ni tupu minya ??? ili isiwe tupu

1670016024346.png


Ingiza imei yako, kisha minya kitufe amacho kilichozungushiwa rangi ya kijani, itaandika unlock succesful

1670016935265.png


Sasa unaweza kutumia line ambayo si ya airtel, waweza kuuchomoa waya wa usb.

utakuwa unatumia software hio kila mara line ikiwa sio ya airtel

Binafsi hili zoezi kwangu huwa halizidi hata sekunde 30, kwenye desktop nina file la imei ambazo nazi copy,, nafungua software nazi paste, na unlock chap chap, nachomoa waya natumia wifi

1670017578615.png




kama kingereza kinapanda fata maelezo >> haya << kuanzia hatua ya 10, ndiyo niliyoyatumia ku unlck modem yangu.
 
Hio ninayo hata mimi, kuifungua ni kwa muda tu (temporary) sijaona hadi sasa mbinu ya moja kwa moja...

Ntakuwekea software yake nikiwa karibu na laptop

Najuta kununua hizo za airtel, zile za tigo nadhani zinafunguka moja kwa moja

Edit: Software >> hii hapa <<

Matumizi yake.

Chomeka line yoyote ambayo sio ya airtel

washa modem kisha iconnect kwa waya wa usb kwenye pc

Inabidi tuingize drivers, fungua device manager (minya search andika device manager), chini ya "ports" utaona kuna "Mobile AT interferace"

View attachment 2433965

Right click hapo, chagua update drivers, minya browse computer

View attachment 2433959

Minya browse, ingia kwenye folder kuu la "MiFi Tool & Drivers" kisha chagua (sio kufungua) folder la "LTE_MIFI_Generic_Driver" then minya "ok". hapo drivers zitaingia.

Fungua software,, hii sehemu niliyozungushiwa inabidi isiwe tupu, kama ni tupu minya ??? ili isiwe tupu

View attachment 2433976

Ingiza imei yako, kisha minya kitufe cha pembeni yake, baada ya hapo minya hio sehemu ambao mouse ipo, yatatokea maandishi ya unlock success. (ikikataa ingiza imei, mac na sn alafu minya kila kitufe cha pembeni ya imei, mac na sn kisha minya kitufe amacho mouse ipo)

View attachment 2433985

maneno yatayokuja ni ulock succesful

Sasa unaweza kutumia line ambayo si ya airtel, waweza kuuchomoa waya pia ili utumie wifi.

ukiachana na kuingiza drivers ambayo ni zoezi la mara moja, Zoezi hili utarudia kila mara ukiwasha modem endapo ina line ambayo si ya airtel.

Binafsi hili zoezi kwangu huwa halizidi hata sekunde 30, kwenye desktop nina file la imei ambazo nazi copy,, nafungua software nazi paste, na unlock chap chap, nachomoa waya natumia wifi

View attachment 2433990



kama kingereza kinapanda fata maelezo >> haya << kuanzia hatua ya 10, ndiyo niliyoyatumia ku unlck modem yangu.
Boss uko maeneo gani nije unisaidie ku ulock ya kwangu
 
Back
Top Bottom