Kati ya simu hizi ipi inadumu na unaweza kufurahia huduma yake?
Share your work. Share your fun.
Start delegating. From The New York Times-recommended Personal...
Habari zenu wakuu.Nimekuwa nikisikia na kusoma kuhusu simu za android au symbian.But kiukweli sizijui ni simu gani.Na tofauti zake,coz zinaniumiza xana kichwa.Mf nokia 3210 nk ni mfumo gani? Ahsanteni
habari zenu wakuu.
Jama ni mda mreet najitahidi kujaribu kuedit some videos ambazo ninmerekodi either kwenye simu au digital camera ila nikijaribu kuedit through windows movie maker inasema...
Je unazijua njia za kujikinga na radi?je unaifahamu huduma ya kwanza kwa mtu aliyepigwa na radi(katika pigo la kwanza na la pili)?je unaimani yoyote inayokutatiza kuhusu radi na ungependa kujua...
Cousins,
Nisaidie app hiyo niweze kuenjoy gmail kwenye hii simu bana; kwa sasa natumia lakini nazunguka kweli.............nimejaribu kuchecki na site yao sikupata msaada ;
Any clue and how to...
Kumekuwa na imani iliyojengeka na kuenea katika jamii kuwa, RADI ina uhusiano mkubwa na madini kwa maana ya kwamba, madini huvuta radi na kusababisha maeneo yenye madini kuwa na radi za mara kwa...
wapendwa!! Embu tuwe serious kidogo hapa... hatuwezi kupata namna ya kupata free internet...i have been reading, n still reading on how to get a free access to internet...Nigeria, South Africa...
Je ni kweli Lady Gaga amekutwa akiwa amefariki ndani ya hotel? Hiki ni kirusi (VIRUS) ambacho kimesambaa sana katika mtandao wa facebook na bado kinazidi kuenea kwa kasi.Kirusi hiki...
Ni flash disk (G:) ya 4 GB. Files na folder chache zilizomo (saved documents) zinafunguka, nyingine nyingi hazifunguki. However, huwezi ku delete chochote, huwezi kuiformat, haipokei faili...
Kwa wajuzi wa IT nuliza je kutumia simu kama modem(tethering) kwenye computer,je ukiweka bundle inaisha haraka au la ?najua ukitumia simu kama modem unapotumia muda wa kawaida huisha haraka kuliko...
Machine: Mac OS X
Version: 10.6.8
Processor: 3.06 GHz Intel Core 2 DUo
Memory: 4GB 1067 MHz DDR3
Ninatumia Corel Draw katika machine niliyotaja hapo juu.
Problem: Ninapotaka...
There can be no doubt that the twentieth century is one of the most remarkable in human history for its previously unparalleled rate of technological advances and scientific discoveries, a rate...
Wanatech na geeks naomba msaada kwa hili. Nililetewa Maxtor 8OGB ide Hard disk niihakikishe kama kweli ni 80GB maa aliyeuziwa alipofanya installation alipata partition ya 40GB tu!Nii-mount kwenye...
Wadau naombeni msaada wenu..kila nikijaribu ku connect nokia yangu ya 6233 kwenye pc kwa kutumia bluetooth inaenda mpaka kwenye kuingiza passcode ila nikishaingiza inaleta hiyo message hapo juu...
Wakuu naomba ufafanuzi.
Iwapo natumia desktop au laptop yenye let's say HDD 40GB, RAM 512 GHz, na processor <1BG, je nikiweka let's say HDD 320BG, 3GB RAM na processor 2GB, itakuwa na performance...
Habari zenu wanaJF.
nilichukua NOKIA N900, siku kadhaa zilizopita. Ila kwa sasa nikitaka kuingia ovi store au ku'update inaniletea hii message "NOKIA MESSEGING PASSWORD. This is password the...